Hivi ndilo tatizo la Bavicha, badala ya kujibu hoja mnaleta porojo na kejeli! Jbuni hoja
kwa hiyo mgombea akitoka CDM wewe unaumia au hupendi?
Hoja gani ipo hapo mkuu?Ukawa haitoi kik kwa Chadema.Mm ni CCM lakn naona Cdm ni chama chenye ushawishi mkubwa nchini na uchaguzı ukienda vizuri wanauweza wa kunyakua zaidı ya nusu ya majimbo yote ya bara.
Pambamfuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Mfa maji bana ....yaaani hata waleta post wao nao wamechoka kama serikali yao?
Kwa taarifa yako mgombea urais wa Ukawa anajulikana hawana presha wala nini ila ninyi mtakuwa kama fisi anarsubiri mkono wa binadamu
udondoke wakati binadamu anaendelea na safari yake kwa madaha. CCM mwaka
huu mtakoma kulinga
Ninyi mainterahamwe je ni Nani aliyewaroga? Ukawa haiwezi kufa kamwe kuwa propaganda zenu za kipuuzi. Kamwe. Maalim huko Zenji chochea moto! Makaidi huko chochea moto! Mbatia pande hizoooo chochea motooooo bila kusahau kamanda wa anga Mbowe chochea chochea chochea moto tuyaondoe haya maccm yaliyochoka hoi bin taabani!
hilo ni gazeti la mafisadi wa ccm. halina jipya.
mbona siku za ukawa zinahesabika
kama anajulikana sema nani? sio unambwela mbwela