alliJAY4_four
Senior Member
- May 4, 2017
- 173
- 95
- Thread starter
-
- #21
Binafsi sipendi zana mkuu, mpaka hapa nina 45 age napiga kavu tu. Sipendi kupima UKIMWI kwa sababu nafsi yangu ilishagoma kuwa upo, huwa naamini UKIMWI ni vile vi ARV na taarifa mbovu ya kuambiwa kula matunda, mbogamboga, fanya mazoezi n.k kana kwamba anaenambia huwa anajua kwamba sifanyi mambo hayo. Pia nimejiridhisha kwamba vipimo viitwavyo vya UKIMWI huwa havipimi UKIMWI bali hupima tu antibodies za Mwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada kama fala wakati mwingine kama mjanja. Kama haeleweki hivi, ukiangalia juujuu kama anaeleweka!
Kuna wanaodai AIDS ni project za watu, mi.i sijui......
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiombe yakukute, utarudi mbio kuufuta huu uzi wako.
Yeah kulingana na mtaalamu mmoja mjerumani niliyemsikiliza. Yeye hasemi ina speed up bali anasema ina input Aids mara tu ukianza kuvila.Kwahiyo unamaanisha ARV zina-speed up maambukizi ya iyo AIDS??
Mimi naamini sana kuwa AIDS ni project za watu kwa ajili ya kupiga hela kubwakubwa. Leo ukiamka ukanadi kuwa umegundua dawa ya UKIMWI hawa waheshimiwa wala huwa hawastuki kwakuwa wanajua fika kuwa umegundua dawa ambayo haipo kwa ugonjwa ambao haupo.Mleta mada kama fala wakati mwingine kama mjanja. Kama haeleweki hivi, ukiangalia juujuu kama anaeleweka!
Kuna wanaodai AIDS ni project za watu, mi.i sijui......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna lolote bhana. Wenye project yao haya ndio maneno wayatumiayo ili ku instill fear, ambapo ukishajazwa hofu tu unakuwa almost robo tatu umeshakufa tayari na robo ya uhai uliobaki wanakumalizia kwa ARV ufe kwelikweli upotee.Usiombe yakukute, utarudi mbio kuufuta huu uzi wako.
Usimchukulie poa "Juliana"...kwanza ukijua tu kuwa unao ujue unaanza kukonda muda huohuo immediately😂😂😂Kila mwanadamu ana chance ya kupata UKIMWI, hata ww saiv unaweza ukawa nao, cus its normal....ni vile magonjwa ni mengi ndo mana kinga somehow sometimes zinapungua
Huu ukweli unafunuka siku za kuelekea ukingoni mwa Dunia, watu hawataki kukubali ni kwa namna gani uongo mkuu umetumika kuuendesha ulimwengu. Neno la Mungu limesema wazi hakuna jambo lililofichwa ambalo halitafichuliwa wala hakuna jiwe litakaloachwa juu ya jiwe.[emoji115]mkuu mimi nimekuelewa vizuri tuu. Maana ninae broo wangu hapa alipima na akaambiwa ana HIV baada ya hapo alisusa na hakwenda tena hospitali huu ni mwaka wa kumi sasa hatumii ARV wala chochote. Nilichoelewa ni kwamba;-
Siku unapoambiwa kuwa umeathilika na vizuri vya ukimwi huwa ni uongo tuu. Bali virus huvipata baada ya kuanza dozi. Yaani ni kama unavyoona mtumiaji na muathilika wa madawa ya kulevya. Yaani hakuna madhara unayoyapata kabla ya kuanza dozi ila shida inakuja ni baada ya kuanza dozi yaani haikutaki uache ile dozi tena. Yaani mwili hupata na arosto. Shukrani kakaa. Njoo uchukue kajero ka voucher
Tatizo la binadamu huwa tunashindwa kuficha uzaifu wetu. Na uzaifu mkubwa wa binadamu ni kuogopa kufa. Ikitokea mtu akiutumia vizuri huu uzaifu bhasi lazima tukwame hapo. Na hata walioanziashi maswara ya DINI waliutumia uzaifu huu na kutuahidi hatutokufa milele, na kutuanzishia tumaduni za kikwao na kutuongoza kama punda. Kuna ambao wanalazimishwa kuamka saa kumi na alfajili kama tiketi ya hiyo kuishi milele yaani pepone na hawa mapimbi wengine wanadiliki kutoa hata pesa waki amini ni kama gharama ya kuuona ufalme wa mbinguni. Ila hawa wana nafuu ukilinganisha na hawa wanao bwia dawa kila siku.Huu ukweli unafunuka siku za kuelekea ukingoni mwa Dunia, watu hawataki kukubali ni kwa namna gani uongo mkuu umetumika kuuendesha ulimwengu. Neno la Mungu limesema wazi hakuna jambo lililofichwa ambalo halitafichuliwa wala hakuna jiwe litakaloachwa juu ya jiwe.
Binadamu tumekuwa mateka wa uongo kwa karne nyingi sana na hata sasa ukweli ukisemwa 1 kati ya mia ndio huupokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisema wewe ni zezeta nitakua nakuonea? Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye damu ndio maana vinapatikana kwa kujamiina... Maralia na magonjwa mengine yanajitegemea kabisaNice, Kusambaa kwa virusi sio UKIMWI, i must repeat UKIMWI ni upungufu wa kinga za mwili wako kujilinda dhidi ya magonjwa. Sasa kusambaa kwa virusi kuna njia nyingi.....Ngono, Mbu anaesababisha Malaria, Hewa, Mgusano wa maji maji lakini haya yooote sio UKIMWI, hizi ni njia za ku-transmitt viruses from one person to another.
Kila ugonjwa unaweza kukupelekea wewe kupata UKIMWI kama hutatibu huo ugonjwa vizuri kwa kufuata maelekezo ya Daktari, kunywa dawa ipasavyo, kula mlo bora na mazoezi ili kuhakikisha kinga zako ziko level. ila ukizemeba kinga zitapungua so utapata UKIMWI.
Yeah kulingana na mtaalamu mmoja mjerumani niliyemsikiliza. Yeye hasemi ina speed up bali anasema ina input Aids mara tu ukianza kuvila.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisema wewe ni zezeta nitakua nakuonea? Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye damu ndio maana vinapatikana kwa kujamiina... Maralia na magonjwa mengine yanajitegemea kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ndio mmesoma leo nini?! Unaambiwa tumia maarifa yako kuiokoa jamii wewe unasumbua jamii. Kama umeelewa/kufahamu leo tujuze vizuri badala ya kudansi na sentensi za watu. Hayo mambo niliyakuta niliposoma logic kugeuza geuza vimaneno wakati maana ileile.
Kama umesoma hiyo topic kwenye immunology class leo, hongera sasa eleza uache kujaza uzi bila sababu.