Hamisikh Member Joined Aug 28, 2012 Posts 47 Reaction score 6 Jan 14, 2013 #1 Habari wanajamvi, huu ni mtazamo wangu jamani, sababu za msingi ni hizi http://hamisikh.wapka.mobi/site_12 Nawewe unasemaje kuhusu hili?
Habari wanajamvi, huu ni mtazamo wangu jamani, sababu za msingi ni hizi http://hamisikh.wapka.mobi/site_12 Nawewe unasemaje kuhusu hili?
MD25 JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 3,074 Reaction score 1,030 Jan 14, 2013 #2 Hamisikh said: Habari wanajamvi, huu ni mtazamo wangu jamani, sababu za msingi ni hizi http://hamisikh.wapka.mobi/site_12 Nawewe unasemaje kuhusu hili? Click to expand... Kwa hiyo yule Grand Master Andy Chande ni tahaira?? Hujui ulisemalo wewe, kachukue jembe la mkono ukalime...
Hamisikh said: Habari wanajamvi, huu ni mtazamo wangu jamani, sababu za msingi ni hizi http://hamisikh.wapka.mobi/site_12 Nawewe unasemaje kuhusu hili? Click to expand... Kwa hiyo yule Grand Master Andy Chande ni tahaira?? Hujui ulisemalo wewe, kachukue jembe la mkono ukalime...
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,066 Jan 15, 2013 #3 Ukienda muhimbili psychiatric department unakutana na watu wanaojiita freemasons, wako wengi tu. Hawana utofauti na wale wanaojiita obama, nyerere nk.am not saying chande ni mgonjwa.
Ukienda muhimbili psychiatric department unakutana na watu wanaojiita freemasons, wako wengi tu. Hawana utofauti na wale wanaojiita obama, nyerere nk.am not saying chande ni mgonjwa.