wanajamvi tuwe tunakumbushana angalau mara moja moja kuwa tunavyofanya yale mambo yetu tuwe tunakumbuka kuwa kuna kaugonjwa,lakin siku hiz kamekuwa ka kawaida ndo maana raia tunagegedana bila kujar chochote!jaman hakuna tuzo ya #ngono zaid ya #ukimw !
Akina dada wengi tabia zenu maamuzi ya kuvaa condom wakati wa game mnamuachia mwanaume,akigonga kavu sawa akivaa sawa...!!au wenzetu nyie mnaona raha sana kavu?