utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Buku 21 hapa kazi tuuHivi posho zenu bado ni buku7 au zimefika 10 lumumba pale?
Hamna mia ulishawasikia tena humuHivi posho zenu bado ni buku7 au zimefika 10 lumumba pale?
Wapinzani wataanza bungeni na bomoa bomoaSababu kuu za huo ukweli hapo juu ni hizi zifuatazo.
1. Uimara umakini na uhodari wa serikali ya Magufuli.
2. Ubutu ugoigoi na kukosa dira na mwelekeo kwa vyama vya upinzani hususan machadema.
3. Watanzania kuamka na kugundua kuwa kumbe wapinzani wa Tanzania ni njaa tu.
4. Wapinzani hasa chadema kukumbatia ufisadi.
5 wapinzani hodari na makini kufukuzwa au kuondoka kwa sababu mbalimbali kwenye vyama vyao
Watanzania waliuamini sana upinzani kumbe ni matapeli na makanjanja.
Maswi wala muhongo hawawezi kuwa mafisadi. Hizo zilikuwa ni njama za makampuni makubwa ya nje ya gesi katika kuwachafua kutokana na msimamo wao imara wa kizalendo. Njama hizo zilikuwa zinapigiwa chapuo kwa nguvu na vyombo vya habari vya ndani na ambavyo baadhi ya wamiliki wake ni wapiga debe wa mabeberu hao wa nje. Wanasiasa uchwara wanaotumiwa na mabeberu nao walihusika kuwachafua maswi na Muhongo.haa haa kama ni kukumbatia mafisadi maghufuli kaanza mapema sana. mafisadi wa escrow wamepewa vyeo TRA akiwemo MASWI...
ndio sera yao mpya??maana ile ya ufisadi imebumaWapinzani wataanza bungeni na bomoa bomoa
Thibitisha acha kuleta porojo hapa hichi sio kijiwe cha wanywa kahawa au wacheza bao.Maswi wala muhongo hawawezi kuwa mafisadi. Hizo zilikuwa ni njama za makampuni makubwa ya nje ya gesi katika kuwachafua kutokana na msimamo wao imara wa kizalendo. Njama hizo zilikuwa zinapigiwa chapuo kwa nguvu na vyombo vya habari vya ndani na ambavyo baadhi ya wamiliki wake ni wapiga debe wa mabeberu hao wa nje. Wanasiasa uchwara wanaotumiwa na mabeberu nao walihusika kuwachafua maswi na Muhongo.
Ok, Tunaisubiri neema ya gesi ya Muhongo. Umeme wa uhakika na wa bei nafuu. hapo ndipo tutaamini kuwa Muhongo ni mwadilifu na kwamba gesi ya Tanzania inawanufaisha watanzania na si mabeberu wa nje. Maana hapatakuwa na tofauti endapo mabeberu hao watadhaminiwa na serikali...Maswi wala muhongo hawawezi kuwa mafisadi. Hizo zilikuwa ni njama za makampuni makubwa ya nje ya gesi katika kuwachafua kutokana na msimamo wao imara wa kizalendo. Njama hizo zilikuwa zinapigiwa chapuo kwa nguvu na vyombo vya habari vya ndani na ambavyo baadhi ya wamiliki wake ni wapiga debe wa mabeberu hao wa nje. Wanasiasa uchwara wanaotumiwa na mabeberu nao walihusika kuwachafua maswi na Muhongo.
Mtu akisema ukweli anakumbana na begi zito la matusi. Mbowe alipaswa kuachia madaraka mwaka 2014, baada ya miaka 10 kumalizika kwa mujibu wa katiba. Leo hii ni mwaka 2016 na bado yupo!. neno democracy ambalo kifupisho chake kipo katika yale maneno yanayotengeneza CHADEMA, limewekwa kapuni tena na kiongozi wa kitaifa. CCM na tuhuma zote wanazobebeshwa, mwenyekiti anapomaliza muda wake kikatiba anaondoka madarakani, Rais pia akimaliza awamu yake anaondoka, hakuna kutengeneza mazingira ili mtu aendelee kuwa mfalme. Kama hali ndio hii kuna tofauti gani kati ya chama kikuu cha upinzani Tanzania na akili zile zile zinazowaweka madarakani kina Paul Kagame na Yoweri Museveni?. Huyo wa Uganda mwaka huu anafikisha miaka 30 akiwa madarakani. CCM wanakosolewa kila wanachokifanya lakini hao wakosoaji na wao wakae chini na kujipima na kuutafakari mwenendo wao kwa faida yao wenyewe na ukuaji wa kweli wa demokrasia ya nchi hii.
Maswi wala muhongo hawawezi kuwa mafisadi. Hizo zilikuwa ni njama za makampuni makubwa ya nje ya gesi katika kuwachafua kutokana na msimamo wao imara wa kizalendo. Njama hizo zilikuwa zinapigiwa chapuo kwa nguvu na vyombo vya habari vya ndani na ambavyo baadhi ya wamiliki wake ni wapiga debe wa mabeberu hao wa nje. Wanasiasa uchwara wanaotumiwa na mabeberu nao walihusika kuwachafua maswi na Muhongo.
Inabidi waanze nayo hii huku wakiwa wanajipanga upyandio sera yao mpya??maana ile ya ufisadi imebuma