Hakuna tena upinzani Tanzania

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Sababu kuu za huo ukweli hapo juu ni hizi zifuatazo.
1. Uimara umakini na uhodari wa serikali ya Magufuli.
2. Ubutu ugoigoi na kukosa dira na mwelekeo kwa vyama vya upinzani hususan machadema.
3. Watanzania kuamka na kugundua kuwa kumbe wapinzani wa Tanzania ni njaa tu.
4. Wapinzani hasa chadema kukumbatia ufisadi.
5 wapinzani hodari na makini kufukuzwa au kuondoka kwa sababu mbalimbali kwenye vyama vyao
Watanzania waliuamini sana upinzani kumbe ni matapeli na makanjanja.
 
Shule zifunguliwe mapema JF irudishe heshima yake.Nadhani ifike mahali jamii forum iweke condition ya kujiunga kuwa members, members wawe si chini ya umri wa miaka 18 yaani 18+ kwani kumekuwa na wimbi kubwa la watoto ambao kama haitapatikana tiba wataharibu hadhi ya JF.
 
Sababu kuu za huo ukweli hapo juu ni hizi zifuatazo.
1. Uimara umakini na uhodari wa serikali ya Magufuli.
2. Ubutu ugoigoi na kukosa dira na mwelekeo kwa vyama vya upinzani hususan machadema.
3. Watanzania kuamka na kugundua kuwa kumbe wapinzani wa Tanzania ni njaa tu.
4. Wapinzani hasa chadema kukumbatia ufisadi.
5 wapinzani hodari na makini kufukuzwa au kuondoka kwa sababu mbalimbali kwenye vyama vyao
Watanzania waliuamini sana upinzani kumbe ni matapeli na makanjanja.
Wapinzani wataanza bungeni na bomoa bomoa
 
Mtu akisema ukweli anakumbana na begi zito la matusi. Mbowe alipaswa kuachia madaraka mwaka 2014, baada ya miaka 10 kumalizika kwa mujibu wa katiba. Leo hii ni mwaka 2016 na bado yupo!. neno democracy ambalo kifupisho chake kipo katika yale maneno yanayotengeneza CHADEMA, limewekwa kapuni tena na kiongozi wa kitaifa. CCM na tuhuma zote wanazobebeshwa, mwenyekiti anapomaliza muda wake kikatiba anaondoka madarakani, Rais pia akimaliza awamu yake anaondoka, hakuna kutengeneza mazingira ili mtu aendelee kuwa mfalme. Kama hali ndio hii kuna tofauti gani kati ya chama kikuu cha upinzani Tanzania na akili zile zile zinazowaweka madarakani kina Paul Kagame na Yoweri Museveni?. Huyo wa Uganda mwaka huu anafikisha miaka 30 akiwa madarakani. CCM wanakosolewa kila wanachokifanya lakini hao wakosoaji na wao wakae chini na kujipima na kuutafakari mwenendo wao kwa faida yao wenyewe na ukuaji wa kweli wa demokrasia ya nchi hii.
 
haa haa kama ni kukumbatia mafisadi maghufuli kaanza mapema sana. mafisadi wa escrow wamepewa vyeo TRA akiwemo MASWI...
Maswi wala muhongo hawawezi kuwa mafisadi. Hizo zilikuwa ni njama za makampuni makubwa ya nje ya gesi katika kuwachafua kutokana na msimamo wao imara wa kizalendo. Njama hizo zilikuwa zinapigiwa chapuo kwa nguvu na vyombo vya habari vya ndani na ambavyo baadhi ya wamiliki wake ni wapiga debe wa mabeberu hao wa nje. Wanasiasa uchwara wanaotumiwa na mabeberu nao walihusika kuwachafua maswi na Muhongo.
 
Thibitisha acha kuleta porojo hapa hichi sio kijiwe cha wanywa kahawa au wacheza bao.
 
Maswi wala muhongo hawawezi kuwa mafisadi. Hizo zilikuwa ni njama za makampuni makubwa ya nje ya gesi katika kuwachafua kutokana na msimamo wao imara wa kizalendo. Njama hizo zilikuwa zinapigiwa chapuo kwa nguvu na vyombo vya habari vya ndani na ambavyo baadhi ya wamiliki wake ni wapiga debe wa mabeberu hao wa nje. Wanasiasa uchwara wanaotumiwa na mabeberu nao walihusika kuwachafua maswi na Muhongo.
Ok, Tunaisubiri neema ya gesi ya Muhongo. Umeme wa uhakika na wa bei nafuu. hapo ndipo tutaamini kuwa Muhongo ni mwadilifu na kwamba gesi ya Tanzania inawanufaisha watanzania na si mabeberu wa nje. Maana hapatakuwa na tofauti endapo mabeberu hao watadhaminiwa na serikali...
 
Mpaka sasa sijaona cha maana ilichofanya hii serikali ya sasa paye ipo juu maisha magumu dola haishuki mishahara midogo huduma mbovu za hospitali ushahidi meru na huku nilipo mnakalia muhimbili tu na dar kwani tanzania ni dar peke ake
 
Huyo alijiingilia ikulu bila mawaziri wala wawakilishi mbona hamumusemi hata mwanaye kasema Hana haki ya kuwa kuwa hapo hilo mnaliwekaje
 
Mtu akisema ukweli anakumbana na begi zito la matusi. Mbowe alipaswa kuachia madaraka mwaka 2014, baada ya miaka 10 kumalizika kwa mujibu wa katiba. Leo hii ni mwaka 2016 na bado yupo!. neno democracy ambalo kifupisho chake kipo katika yale maneno yanayotengeneza CHADEMA, limewekwa kapuni tena na kiongozi wa kitaifa. CCM na tuhuma zote wanazobebeshwa, mwenyekiti anapomaliza muda wake kikatiba anaondoka madarakani, Rais pia akimaliza awamu yake anaondoka, hakuna kutengeneza mazingira ili mtu aendelee kuwa mfalme. Kama hali ndio hii kuna tofauti gani kati ya chama kikuu cha upinzani Tanzania na akili zile zile zinazowaweka madarakani kina Paul Kagame na Yoweri Museveni?. Huyo wa Uganda mwaka huu anafikisha miaka 30 akiwa madarakani. CCM wanakosolewa kila wanachokifanya lakini hao wakosoaji na wao wakae chini na kujipima na kuutafakari mwenendo wao kwa faida yao wenyewe na ukuaji wa kweli wa demokrasia ya nchi hii.

Kama issue ni democrasi CCM isingeng'ang'aina Zanzibar. Ondoa boriti kwenye jicho lako kwanza kabla ya kuituhumu CDM
 
Maswi wala muhongo hawawezi kuwa mafisadi. Hizo zilikuwa ni njama za makampuni makubwa ya nje ya gesi katika kuwachafua kutokana na msimamo wao imara wa kizalendo. Njama hizo zilikuwa zinapigiwa chapuo kwa nguvu na vyombo vya habari vya ndani na ambavyo baadhi ya wamiliki wake ni wapiga debe wa mabeberu hao wa nje. Wanasiasa uchwara wanaotumiwa na mabeberu nao walihusika kuwachafua maswi na Muhongo.

Kwani UFISADI wa ESCROW haukufanyika chini yao ?????????!!
 
Back
Top Bottom