Kugawa muhimu sana
Pasaka niliwasambazia majirani zangu wote waislamu
Leo nimerudishiwa hadi imebidi nialike wengine tule kwa pamoja
Ishi vizuri na watu
Yule marehemu wako ameondoka na chakula. Iddi kaile kaburini kwake. Shenzi kweli, mtahangaika sana ila kila mnchojaribu kuleta tunakielewa vizuri. Watanzania wana akili kuliko nyie nyau
Kugawa muhimu sana
Pasaka niliwasambazia majirani zangu wote waislamu
Leo nimerudishiwa hadi imebidi nialike wengine tule kwa pamoja
Ishi vizuri na watu