YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Ajira tanzania ziko nyingi wala hakuna tatizo la ajira.Ila watanzania wengi hupenda kuchagua kazi.Mfano serikali inatangaza kuwa ina upungufu wa walimu.Unakuta wanafunzi wanashupalia kusoma uhasibu au marketing.Akimaliza anaanza kubwata kuwa ajira hamna!!
Serikali inatangaza jamani tuna upungufu wa madaktari na maininjinia watoto someni masomo ya sayansi masekondari unakuta kitoto kinasoma Historia kingereza na Kiswahili kidato cha sita kesho kinaenda kuchukua digrii ya uandishi wa habari .Kikikosa kazi kinaanza kubwata na wazazi wake barabarani kuwa ajira hamna serikali haiko makini!!!!
Tanzania ina ardhi ya kutosha yaweza ajiri watu wengi lakini vijana wengi hawataki hiyo ajira!!! Hata ukimwajiri shambani akulimie ukimllipa hela yake vizuri tu kadri mnavyopatana unakuta kijana hukai naye muda hataki kazi ya kulima wakati huo huo hana kazi ingine yoyote.
Mahouse boy na ma house girl wanatakiwa mno lakini wasomi hawataki kufanya hizo kazi tena sio wasomi kusema wa digrii!!! ni kamtu fulani kamemaliza form four kamepata division Zero unakaambia njoo uwe house boy au house girl kananyanyua mabega hakataki eti nako kasomi!!!!!
Kwa ujumla tatizo la ajira Tanzania kwa sehemu kubwa ni kama halipo.Tatizo ni wasio na ajira kupenda kuchagua kazi badala ya kudaka fursa yoyote ya kazi iliyopo.
Halafu kitu kingine cha kushangaza wasomi hao hao wanaosema hawana kazi walizosomea wakienda marekani au ulaya utawakuta wanafanya kazi nyumba za wazee wanaviosha na kuvichamba makalio vibibi na vibabu vya kizungu wakati fani walizosomea sio hizo.Wakiwa nchini ndio wanajitia kuchagua kazi.Kule hawachagui wakiwa Tanzania wanajitia kuchagua kazi.
Watanzania wasio na kazi waache kuchagua kazi zilizopo wadake.