Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mmeshindwa kuelewana tu lakini naamini alichokusudia ni hicho hicho unachoaminikwani tcra wamesema wanazima simu?
wanablock imei sio wanazima simu..
ukiflash maana yake anatoa system yote ya simu inakuwa kama kopo kisha anakuwekea system nyingine ya kudownload.. so inakuwa fakeKuna simu apa haina imei kabisa thou ni original coz ili flashiwa sijui itakuwaje apo
hapanaJAMANI VIPI KWA SIE TULIO-ROOT SIMU ZETU NAZO ZITAZIMWA KWAKUWA TUZI-ROOT AU?...NAOMBENI JIBU MAANA HAPA KITUMBO JOTO
Itazimwa tu.Kuna simu apa haina imei kabisa thou ni original coz ili flashiwa sijui itakuwaje apo
Afazali..maana dah!..kiroho kilikuwa kinanidunda apa balaa..ngoja ninywe maji..teh tehhapana
kuroot hakuhusiani na tcra
hahaha pole mkuu.,Afazali..maana dah!..kiroho kilikuwa kinanidunda apa balaa..ngoja ninywe maji..teh teh
Hujui chochote kuhusu ku flashukiflash maana yake anatoa system yote ya simu inakuwa kama kopo kisha anakuwekea system nyingine ya kudownload.. so inakuwa fake
poa poaHujui chochote kuhusu ku flash