Hakuna shida kuishi na figo moja

Hakuna shida kuishi na figo moja

Nkingwamh

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
290
Reaction score
210
Unapojiuliza nitawezaje kuishi na figo? Au kuna madhara gani kuishi figo moja
Jibu Ni hili Hakuna Shida yoyote kwani kuna watu walizaliwa na figo moja na wanaishi vizuritu.

Jambo la muhimu Ni kua makini ili hiyo figo moja isiharibike.

Kwani kua na figo zote sio muhimu, muhimu Ni figo zifanye kazi.

Kwa mtu anaeishi na figo moja anatakiwa kuilinda zaidi kwani hana nyingine.

Na kwaufupi mtu kwenye figo moja ili ailinde hatakiwi kunywa pombe, kumeza Dawa bila mpangilio. Kuhakikisha shinikizo la damu linakua normol kila wakati.
 
Back
Top Bottom