Hakuna sehemu watu wake wamestaaribika Moshi kama Marangu na Mwika

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,988
9,323
Kwema wanabodi , poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa. Moja kwa moja kwenye lengo la kuandika huu uzi.
Binafsi napenda sana kujifunza kutokana na mazingira yoyote ninayokutana nayo. Kwa muda mfupi niliowahi kukaa sehemu za Mwika(hapo maeneo ya saccos) pamoja na marangu(niliwahi kwenda tour ya marangu waterfall &kinukamori) nimejifunza mengi ikiwemo ustaarabu wa watu wa maeneo hayo.kinachonisukuma kuandika hivi ni kwamba

1.Watu wa maeneo hayo ni watu wa ibada sana, kuanzia mjukuu hadi mzee wa miaka 80+
2.huwezi kukuta mtu anatukana matusi hovyohovyo.hata kama amelewa.
3.kuhusu swala la usafi nawapa kongole watu wa maeneo hayo .haswa usafi wa kuzunguka maeneo ya kuishi.ninkawaida kukuta nyumba haikai mtu lakini kwa wale waangalizi ni lazima kufanya usafi baada ya muda fulani kwenye hiyo nyumba isiokaa mtu.
4.Ni sehemu yenye makazi bora haswa ya nyumba nzuri na za kisasa.hivyo yanafaa haswa kwa wastaafu.
5.ni ngumu sana narudia tena ni nadra sana kukuta msichana kazalia nyumbani au ameshika mimba zisizotarajiwa kwenye maeneo hayo.
6. Sio rahisi kusikia matukio ya ujambazi au serious crime kama mauaji.
7.Ni sehemu ambayo kiukweli kuna wazee ambao wana umri mkubwa na bado ana dunda regardless anakunywa mbege. Kumkuta anakata majani ya mbuzi au ng'ombe ile mapema asubuhi saa 12. ni kitu cha kawaida sana.
8.Ni nadra sana kukuta bodaboda wa maeneo hayo anatongoza mwanafunzi na hata kama wapo ni 2/100. Ni nadra kusikia mwanafunzi ana mahusiano na mtu aliyemzidi umri.
9. NI ENEO AMBALO LINA WASOMI TENA WENYE EXPOSURE NA ULIMWENGU UNAVYOENDA.
10.Ni eneo ambalo unakutana na vyakula vyakula vya asili pamoja na mboga mboga fresh.
11. Pia ni eneo ambalo wanajali vitu vya mambo ya kale Sana mfano vyungu, mabakuli ya kuchonga ,n.k yaani kwa kifupi ni eneo ambalo kuna cultural heritage zake.
12. Mwisho ni eneo ambalo lina hali ya hewa safi sana throughout the year.
NB: hii nimetafiti binafsi kwa kufanya observation .
Nakaribisha kukosolewa vikali na haters@ narcissists
 
Watakuja kukutukana sasa hivi subiri utaona!!!
 
Tatizo la Kilimanjaro (moshi) achilia mbali upareni yaani mwanga na same ni ukosefu mkubwa wa Ardhi,
Natural resources kama madini, water bodies nk
Hali hiyo imepelekea ukosefu wa fursa kabisa kabisa hali inayopelekea maisha kuwa magumu sana!!! Tuongeeukweli
 
Kwema wanabodi , poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa. Moja kwa moja kwenye lengo la kuandika huu uzi.
Binafsi napenda sana kujifunza kutokana na mazingira yoyote ninayokutana nayo. Kwa muda mfupi niliowahi kukaa sehemu za Mwika(hapo maeneo ya saccos) pamoja na marangu(niliwahi kwenda tour ya marangu waterfall &kinukamori) nimejifunza mengi ikiwemo ustaarabu wa watu wa maeneo hayo.kinachonisukuma kuandika hivi ni kwamba

1.Watu wa maeneo hayo ni watu wa ibada sana, kuanzia mjukuu hadi mzee wa miaka 80+
2.huwezi kukuta mtu anatukana matusi hovyohovyo.hata kama amelewa.
3.kuhusu swala la usafi nawapa kongole watu wa maeneo hayo .haswa usafi wa kuzunguka maeneo ya kuishi.ninkawaida kukuta nyumba haikai mtu lakini kwa wale waangalizi ni lazima kufanya usafi baada ya muda fulani kwenye hiyo nyumba isiokaa mtu.
4.Ni sehemu yenye makazi bora haswa ya nyumba nzuri na za kisasa.hivyo yanafaa haswa kwa wastaafu.
5.ni ngumu sana narudia tena ni nadra sana kukuta msichana kazalia nyumbani au ameshika mimba zisizotarajiwa kwenye maeneo hayo.
6. Sio rahisi kusikia matukio ya ujambazi au serious crime kama mauaji.
7.Ni sehemu ambayo kiukweli kuna wazee ambao wana umri mkubwa na bado ana dunda regardless anakunywa mbege. Kumkuta anakata majani ya mbuzi au ng'ombe ile mapema asubuhi saa 12. ni kitu cha kawaida sana.
8.Ni nadra sana kukuta bodaboda wa maeneo hayo anatongoza mwanafunzi na hata kama wapo ni 2/100. Ni nadra kusikia mwanafunzi ana mahusiano na mtu aliyemzidi umri.
9. NI ENEO AMBALO LINA WASOMI TENA WENYE EXPOSURE NA ULIMWENGU UNAVYOENDA.
10.Ni eneo ambalo unakutana na vyakula vyakula vya asili pamoja na mboga mboga fresh.
11. Pia ni eneo ambalo wanajali vitu vya mambo ya kale Sana mfano vyungu, mabakuli ya kuchonga ,n.k yaani kwa kifupi ni eneo ambalo kuna cultural heritage zake.
12. Mwisho ni eneo ambalo lina hali ya hewa safi sana throughout the year.
NB: hii nimetafiti binafsi kwa kufanya observation .
Nakaribisha kukosolewa vikali na haters@ narcissists
Labda wanaume kwa nachokijua wanawake wa marangu ni viumbe hatari sana kuwai kutokea sub sahara, wamekuja mjini kuvuna kwa kila namna, kuanzia utu, tabia na upendo hamna zaidi ya fursa kwao.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom