hakuna raha kama kuitwa mume

habari zenu wanaukumbi,naamini mnaendelea vizuri kulea ndoa zenu na mahusiano yenu japo mengine yanayumbayumba ila mnavumiliana.Hongera zenu.
Ina karaha zake siyo ukiitwa mume uchekecheke tu ujue unatakiwa kuhudumia huyo anayekuita mume
 
habari zenu wanaukumbi,naamini mnaendelea vizuri kulea ndoa zenu na mahusiano yenu japo mengine yanayumbayumba ila mnavumiliana.Hongera zenu.
Hujui unachopenda dogo. Mume sio jina tu, ni mahujumu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…