Lulu michael
Member
- Dec 5, 2013
- 31
- 32
Mh mie sina comment hapo.....
Hivi wewe c ndo unataka kumpiga mkeo wakati akikuombea? Wasiwasi!!
kujisaidia haja kubwa huku unavuta sigara au kusafishwa maskio na mtu mwingine kwa kutumia pamba za kusafishia maskio a.k.a [cotton buds]
teh teh teh wewe ndo NUMBER ONE wengine naonja tu.......nataka ujana niumalize mapemaa........SITAKI MAMBO YA KIBAZAZI YA KAPUYA UZEENInakuona tu laaziz wangu vichuna wanavyokugombea sina changu tena
Si uongo Ennie. Inakuaje mtu na akili zake anapost kitu kama hiki. Nachaajabu huenda ana mke na watoto nyumbani!!! potelea mbali hata kama ana demu walahi ningekuwa wakike halafu ndo kiburudisho chake namuache bora nizeeke kwetu. Upuuzi tu.jaribu kutafuta watu kama hawa wanakuwaga na tabia za ajabu sana na hata wakienda bar wanajikojoleaga hawa.Hii wiki iishe tu,nahisi kuna upepo umewapitia watu!
kujisaidia haja kubwa huku unavuta sigara au kusafishwa maskio na mtu mwingine kwa kutumia pamba za kusafishia maskio a.k.a [cotton buds]
kujisaidia haja kubwa huku unavuta sigara au kusafishwa maskio na mtu mwingine kwa kutumia pamba za kusafishia maskio a.k.a [cotton buds]
Si uongo Ennie. Inakuaje mtu na akili zake anapost kitu kama hiki. Nachaajabu huenda ana mke na watoto nyumbani!!! potelea mbali hata kama ana demu walahi ningekuwa wakike halafu ndo kiburudisho chake namuache bora nizeeke kwetu. Upuuzi tu.jaribu kutafuta watu kama hawa wanakuwaga na tabia za ajabu sana na hata wakienda bar wanajikojoleaga hawa.
Ndo maana waifu wako anakuombea maana wewe ni chenga sana kama mwenye jina.
kujisaidia haja kubwa huku unavuta sigara au kusafishwa maskio na mtu mwingine kwa kutumia pamba za kusafishia maskio a.k.a [cotton buds]