hata biblia inasema samehe mara 7 mara 70,ila jamani kuna kero za ajabu sana ktk mahusiano,na wengine esp wanaume they dnt care vitu wanavyofanya,wanadhan wanawake tuna roho za chuma,kuna kuchoka jamani,maana ingekua maudhi yanaacha tobo,hakuna moyo wa mwanamke hata mmoja duniani wenye nafas ya kutoboka tena.tukiwachoka mansema tumeanza dharau na michepuko,