Hakuna penzi "real" kama penzi la hili!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,438
Tumetoka mbali sana!

My mama always used to tell me:
'If you can't find somethin' to live for, you best find somethin' to die for.... Tupac

Ain't a woman alive that could take my mama's place.... Tupac
 
Hakika penzi la Mama kwa Mtoto wake ni penzi la ukweli na kunakuwa na uwajibikaji wa mama kwa asilimia zote 100. Penzi lingine tamu ni la mtu na mchepuko wake mpya angalau kwa asilimia 80 kunahali ya kufaidiana.
 
Daah!!! Hii nayo ni Kari ya Mwaka !!!! Mchepuko tena...
 
Mkuu usikae karibu na wavuta bangi
Hakika penzi la Mama kwa Mtoto wake ni penzi la ukweli na kunakuwa na uwajibikaji wa mama kwa asilimia zote 100. Penzi lingine tamu ni la mtu na mchepuko wake mpya angalau kwa asilimia 80 kunahali ya kufaidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Love your Mom Dude, hizi simblisi za JF wanna get you lost. Take ma word. If in doubt see me kwa inbox
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…