Hakuna Nywinywi wala nywinywinywi

Hakuna Nywinywi wala nywinywinywi

Katika maeneo yangu hali ni shwari kabisa akina mama wananunua samaki wa kukaanga kwa ajili ya kwenda kula na familia zao kwa kweli ni amani kama ilivyozoeleka kwa Watanzania wanavyosifika hadi nje ya mipaka ya nchi

Swali vibaraka wa Mabeberu akina Maria Sarungi wanajisikiaje mda huu? Aibu wataona wao. Watanzania wamechagua Amani Na vyombo vya ulinzi na Usalama viko imara sana kukabiliana na uhalifu wowote.
Usiwe muongo... Maandamano yaliitishwa na yamefanyika kikamilifu... Mitaa imeshuhudia vyombo vya ulinZi vikiandamana.

Kama kungekuwa na amani uisemayo vyombo vya ulinzi vingeendelea na majukumu mengine.
 
Mwaipopo wakajambishwa wajinga wote wamerudi nyuma.
 
Katika maeneo yangu hali ni shwari kabisa akina mama wananunua samaki wa kukaanga kwa ajili ya kwenda kula na familia zao kwa kweli ni amani kama ilivyozoeleka kwa Watanzania wanavyosifika hadi nje ya mipaka ya nchi

Swali vibaraka wa Mabeberu akina Maria Sarungi wanajisikiaje mda huu? Aibu wataona wao. Watanzania wamechagua Amani Na vyombo vya ulinzi na Usalama viko imara sana kukabiliana na uhalifu wowote.
waTanzania wamekataa kubebwa ufala wa kifikra na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha ndani ya chadema 🐒
 
Leo hapakuwa na ratiba yoyote ya maandamano, wahuni waliamua kuwalaza macho wazi, tunajua maviongozi ya tanzagiza ni mambumbumbu, yanapelekeshwa hadi na watoto wadogo wa primary school, na keshokutwa 88 laleni nje tena, samia naambiwa kakimbia nchi🙄
Endeleeni hivyo hivyo mpk 2030 Samia ataondoka mwenyewe
 
Katika maeneo yangu hali ni shwari kabisa akina mama wananunua samaki wa kukaanga kwa ajili ya kwenda kula na familia zao kwa kweli ni amani kama ilivyozoeleka kwa Watanzania wanavyosifika hadi nje ya mipaka ya nchi

Swali vibaraka wa Mabeberu akina Maria Sarungi wanajisikiaje mda huu? Aibu wataona wao. Watanzania wamechagua Amani Na vyombo vya ulinzi na Usalama viko imara sana kukabiliana na uhalifu wowote.

Mbona ulisahau kuweka picha kuthibitisha hicho unachokisema ??

View: https://www.youtube.com/shorts/rK85Jc-I25E
 
Katika maeneo yangu hali ni shwari kabisa akina mama wananunua samaki wa kukaanga kwa ajili ya kwenda kula na familia zao kwa kweli ni amani kama ilivyozoeleka kwa Watanzania wanavyosifika hadi nje ya mipaka ya nchi

Swali vibaraka wa Mabeberu akina Maria Sarungi wanajisikiaje mda huu? Aibu wataona wao. Watanzania wamechagua Amani Na vyombo vya ulinzi na Usalama viko imara sana kukabiliana na uhalifu wowote.
Ukweli ni kwamba amani na utulivu wa nchi yetu ni vitu vya thamani sana ambavyo Watanzania tunavilinda kwa dhati. Ni jambo la kusikitisha kuona kuna watu wanaofurahia au kushangilia kila tukio baya au changamoto inayotokea serikalini kwa maslahi ya kisiasa. Tabia hii ya kutafuta umaarufu kupitia mabaya haina tija, na ni vyema wakakumbuka kuwa kila jambo lina mwisho wake—muda wa propaganda na ushangiliaji wa chuki huwa una kikomo chake, lakini utulivu wa taifa letu utabaki daima
 
Watu wametishia tu kidogo, polisi na majeshi hadi uchochoroni kweli ccm na serikali yake dhalimu wapo hapo walipo kwa nguvu ya dola na siyo ridhaa ya wananchi
 
Leo Public Holiday imezoeleka watu kupumzika majumbani labda uniambie kesho
Unajifariji kipumbavu sana! Sasa hayo maonyesho ya 77 mliandalia nzi? Kama maana yako ya sikukuu watu kukaa nyumbani inamake sense! Uchawa usio maana ni upumbavu!
 
Mi mbona nimetoka 7-7 na Familia yangu mida hii? Nyinyi wahuni wa CHADEMA ndiiyo mmefyata mikia
 
Mmekaa mkiamini GEN Z waandamane kwa ajili yenu huku nyie na watoto mmejifungia ndani

Ukitaka mabadiliko toka hapo nyumbani na bango ingia barabaran very simple

Hizo story za GEN Z ni upumbavu sana.
Siongei na wapumbavu , kwa nchi waona ipo sawa ,pumbavu sana
 
Katika maeneo yangu hali ni shwari kabisa akina mama wananunua samaki wa kukaanga kwa ajili ya kwenda kula na familia zao kwa kweli ni amani kama ilivyozoeleka kwa Watanzania wanavyosifika hadi nje ya mipaka ya nchi

Swali vibaraka wa Mabeberu akina Maria Sarungi wanajisikiaje mda huu? Aibu wataona wao. Watanzania wamechagua Amani Na vyombo vya ulinzi na Usalama viko imara sana kukabiliana na uhalifu wowote.
Ila mzee hili sio la kushangilia ushindi bali wenye akili wakaa na kutafakar nchi inaenda wap!! Tanzania inayojaa majeshi barabaran kisa maandamano, hii sio picha nzur kama Taifa 📌
 
Picha nzuri ni ya kuharibu na kuchoma mali za watu?
 
Back
Top Bottom