Hakuna neema CCM - Lembeli

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,141
2,000
Mbunge wa zamani wa Kahama , James Lembeli , amesema hakuna neema ndani ya ccm , hivyo wanaoendelea kukiunga mkono wasitarajie kupata maisha bora .

Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya isagehe wilayani Kahama , Lembeli alirudia kusema kilichomtoa ccm na kujiunga na chadema ni KUTOKANA NA KUKITHIRI KWA RUSHWA NA UNAFIKI ndani ya chama hicho .

Chanzo - Nipashe .
 
shiu yang

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
3,171
2,000
CCM ni kama boti inayozama naona wamajaribu kuziba matundu yanayotoa maji lakini hawawezi coz maji yanazidi kuingia soon itazama.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,141
2,000
Ni kweli kushabikia CCM lazima uwe una matatizo kichwani kwa sababu CCM sio kilabu cha michezo. Washabiki wapo kwenye vilabu vya michezo.

CCM ni chama cha siasa ambacho maamuzi yake yanagusa wananchi moja kwa moja.
Sikujua kama wewe jamaa ni mchumia tumbo kiasi hicho , hivi yale matusi yaliyoporomoshwa Kagera ndio maamuzi yanayogusa wananchi yale ?
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,756
2,000
Lembeli alihama CCM baada ya Mmiliki wa Super market za Imalaseko kuamua kujitosa kupambana nae kwny Ubunge wa kahama.

Lowassa alihama CCM baada ya kukatwa kwny Kinyang'anyiro cha Urais ngazi ya Chama.

Hawakuhama CCM kwa sababu ya sera hivyo waache na wenzao wajaribu bahati zao.

Mpaka Leo hii ikitokea Lowassa na Lembeli wapewe fursa sawa za kuwania Urais na Ubunge ndani ya CCM na Chadema basi watachagua CCM .
 
Uongo utakusaidia nini ?
 
ngopyolo

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
1,943
2,000
Ni kweli kushabikia CCM lazima uwe una matatizo kichwani kwa sababu CCM sio kilabu cha michezo. Washabiki wapo kwenye vilabu vya michezo.

CCM ni chama cha siasa ambacho maamuzi yake yanagusa wananchi moja kwa moja.
Akili yako ipo matakoni imechanganyikana na kimba lako
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,338
2,000
Sikujua kama wewe jamaa ni mchumia tumbo kiasi hicho , hivi yale matusi yaliyoporomoshwa Kagera ndio maamuzi yanayogusa wananchi yale ?
Lakini Erythrocyte, unakumbuka jinsi wananchi walioathirika na njaa na tetemeko walivyokuwa wakishangilia wakati "matusi" yalipokuwa akiporomoshwa? Unakumbuka? Sisi watz sijui tumepumbazwa na kitu gani!
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
23,923
2,000
Ni kweli kushabikia CCM lazima uwe una matatizo kichwani kwa sababu CCM sio kilabu cha michezo. Washabiki wapo kwenye vilabu vya michezo.

CCM ni chama cha siasa ambacho maamuzi yake yanagusa wananchi moja kwa moja.
Kama kukwapua hela ya rambi rambi.
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
23,923
2,000
Lembeli alihama CCM baada ya Mmiliki wa Super market za Imalaseko kuamua kujitosa kupambana nae kwny Ubunge wa kahama.

Lowassa alihama CCM baada ya kukatwa kwny Kinyang'anyiro cha Urais ngazi ya Chama.

Hawakuhama CCM kwa sababu ya sera hivyo waache na wenzao wajaribu bahati zao.

Mpaka Leo hii ikitokea Lowassa na Lembeli wapewe fursa sawa za kuwania Urais na Ubunge ndani ya CCM na Chadema basi watachagua CCM .
Na wewe uko huko kwa matumaini ya kuteuliwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom