Hakuna neema CCM - Lembeli

Kwani Wewe unaamini CCM ingempitisha Lowassa July 12, 2015 Ingefika July 27 angejitoa CCM na kujiunga Chadema kwa kuwa CCM haifai?
Nadhani siasa za chuki, husda, wivu, makundi na mambo mengi ndio yalifanya yeye ajisikie kuchoka. Lakini suala la kutopitisha jina lake tu, kungesinge mfanya ahame chama, mbona walikuwa wengi je wote walihama baada ya kukatwa? Ukifikilia kwa mbali sana utagundua alihujumiwa kwa kipindi kirefu, na kupewa kashfa za kila aina ili akwame. Sasa kwa kuwa ana maono ya mbali akaona bora awapishe, huyo ndio Lowassa.

Lembeli, tangu atoke kwenye ile kamati ya maliasili na maazimio ya bunge, ndio ikawa chanzo chakuandamwa na hata kumfukuza uanachama. Sasa ulitaka abaki tu, kwa ajili ya nini? Hayo machache nimekujuza baada ya kuona una akili nzuri.
 
Eti Lembeli alifukuzwa Uanachama!
 
Eti Lembeli alifukuzwa Uanachama!
Jibu hoja mkuu, usikimbilie sehemu nyepesi. Umeniuliza nikakujibu kwa kukushushia data, wewe unasema eti!! Sasa hukujua kugawa jimbo lake ilikuwa hila ili ashindwe!! Acheni kuogopa kuongea ukweli kisa mtanyimwa posho.
 
Naona kwa mbali wachumia tumbo wakiendelea kusifiana na kukashifiana waseme tu ukweli kuwa sisi tukiwa wabunge au mawaziri tumewafikisha pabaya watanzania watuombe msamaha kwanza sio kila siku ccm haina maana wakati wao ndo chanzo
 
Watetea mafisadi chadema, mjue kabisa Magufuli siyo saizi yenu..

Kulialia kwenu kwenye mitandao ya kijamii hakuwezi kubadili jiwe kuwa barafu.

Chadema, chama la hovyo kuwahi kutokea duniani
 
Hatuwezi kumwamini mwanasiasa, hayo yakizungumzwa na viongozi wa dini nitakubali.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Back
Top Bottom