Mkopo utatoa wewe au unafikiri banks ni charity organisations? nakubaliana wafuate sheria za kufanya biashara kama wengine, miji lazima iwe na utaratibu maana huwezi kuwa na watu milion tano halafu wengine wanajiona kama wako juu ya wengine, haki ni haki tuu ingawaje tunaweza kutafuta waiver za hapa na pale kuwapa unafuu maana njaa ikiwazidi matumizi ya usalama yataongezeka, tuwe makini sana na hili...balance is everythingKuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.
1. Hawalipi Kodi,
2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.
NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
hahaha... cheap shit kwa njaa za bongo lazima ziingie tuu,iphone 13 original utawauzia watu wangapi bongo? tecno ya dola kumi lazima iingie tuu hakuna namna, issue ni kuongeza uzalishaji wa ndani ili watu wapate kazi ndio muhimu na kutoharibu fedha za kugeni, bado tunaagiza mafuta ya kula na mchele ni aibu kwelikweli, tuna safari ndefu sanaHakuna nchi iliwahi kuendelea kwa kuruhusu soko lake kufurika bidhaa cheap na za kiwango duni kutoka nchi nyingine.
Serikali inatakiwa kubana uangizaji wa bidhaa kutoka nchi zingine huku ikisaidia wazalishaji wa ndani. Nchi zote zimekuza hivyo chumi zao.
Serikali inatakiwa kufanya haya strategically ili isijezuia bidhaa ambazo haziwezi kutengeneza. Mfano, huwezi zuia simu wakati huwezi kutengeneza. Lakini unaweza kuzuia au kuweka kodi kubwa kwenye vichanio/vitana, nguo za mitumba, tootpick na vikolokolo vingine vingi huku ukisaidia wazalishaji binafsi kuweza kuzalisha vitu hivyo.hahaha... cheap shit kwa njaa za bongo lazima ziingie tuu,iphone 13 original utawauzia watu wangapi bongo? tecno ya dola kumi lazima iingie tuu hakuna namna, issue ni kuongeza uzalishaji wa ndani ili watu wapate kazi ndio muhimu na kutoharibu fedha za kugeni, bado tunaagiza mafuta ya kula na mchele ni aibu kwelikweli, tuna safari ndefu sana
Tanzania hatuhitaji maendeleo, tunahitaji kuishi tu na maendeleo tutayatengeneza kwa mdomo.Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.
1. Hawalipi Kodi,
2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.
NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Zilikuwa ID:za kisiasa one man show,hazikuwa shirikishi Hata Sera ambazo siyo shirikishi huwa hazifanikiwiZile id walizopewa si waliambiwa wanaweza ombea mkopo
Ova
CCM ndiyo mchawi wetuTanzania hatuhitaji maendeleo, tunahitaji kuishi tu na maendeleo tutayatengeneza kwa mdomo.
Waliokuwa nyuma yetu kabla ya uhuru leo wako mbele yetu japo tunajisifu tuko mbele yao! Ukweli ni kuwa maisha yetu yamerudi nyuma sana kwani furaha tuliyokuwa nayo miaka ya sitini leo haipo.
Kwani kipindi kilichopo ni chepesi? Ugumu umeongezeka mara 10 zaidiIla hii nchi ilipitia kipindi kigumu sana
Zile id walizopewa si waliambiwa wanaweza ombea mkopo
Ova
Hatuko uchumi wa kati, tulishushwa ila tupo uchumi wa kati kwenye vyombo vya habariHuna akili kabisa.
Tanzania ilifikaje uchumi wa kati mapema zaidi ilivyokuwa imetarajiwa
Tunatumia Sera ambazo hazina muelekeo ,swali fikirishi kwanini tunatumia Sera ambazo hazina tija 'why formulate ineffective policies and what is the motive behind 'Kwani kipindi kilichopo ni chepesi? Ugumu umeongezeka mara 10 zaidi
Mchawi siyo CCM bali mchawi ni kura, wamerogezewa kwenye kura kwani muda wote mwaka mzima wanawaza kura tu! Hiyo ndiyo CCM.CCM ndiyo mchawi wetu
Technically, unakubali wamachinga ni bomu la mav. Likipigwa lazima wote mnukie nnyaHakuna nchi iliwahi kuendelea kwa kuruhusu soko lake kufurika bidhaa cheap na za kiwango duni kutoka nchi nyingine.
Serikali inatakiwa kubana uangizaji wa bidhaa kutoka nchi zingine huku ikisaidia wazalishaji wa ndani. Nchi zote zimekuza hivyo chumi zao.
Nasikia miaka ya 60 tulikuwa sawa na nchi kama Korea, Turkey etc lakini leo ni kama usiku na mchana, sijui tumekosea wapi?Tanzania hatuhitaji maendeleo, tunahitaji kuishi tu na maendeleo tutayatengeneza kwa mdomo.
Waliokuwa nyuma yetu kabla ya uhuru leo wako mbele yetu japo tunajisifu tuko mbele yao! Ukweli ni kuwa maisha yetu yamerudi nyuma sana kwani furaha tuliyokuwa nayo miaka ya sitini leo haipo.
Ni kweli lakin hio ndio njia ya wao kujipatia kipato na kuisaidia serikali kupunguza wimbi la umaskini. Pato la taifa ni jumuishi litasomwa tu kwa wastani lakin ni lazima maisha ya kila mtanzania yaakisi pato la wastani la Taifa. Pia kodi si lazima ilipwe mojakwamoja kwa wao kuwa na kipato japo kidogo serikali inatengeza potential kwa wao kulipa kodi sehemu nyingine mfano kupitia vijibiashara vyao vidogo wataweza kumudu pia kulipia umeme majumba kwani wasingekuwa na kipato wangelala tu na giza vibatari vipo na wapo wanaotumia , kupitia umeme kuna tozo pale pia. Ushauri wangu jambo hili liwe ni makubaliano mtu asionewe pia na wao waelewe kincho hitajika.Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.
1. Hawalipi Kodi,
2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.
NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo
Kwa biashara ya Umachinga huwezi kukopa Benki sio tu kwasababu hutakubaliwa bali pia ni hatari zaidi kumudu unless wewe uwe machinga kivuli ( wale wenye maduka wanaojiita machinga). Katika taasisi yoyote ya fedha mtu anae kopesheka ni kati ya hawaMkopo utatoa wewe au unafikiri banks ni charity organisations? nakubaliana wafuate sheria za kufanya biashara kama wengine, miji lazima iwe na utaratibu maana huwezi kuwa na watu milion tano halafu wengine wanajiona kama wako juu ya wengine, haki ni haki tuu ingawaje tunaweza kutafuta waiver za hapa na pale kuwapa unafuu maana njaa ikiwazidi matumizi ya usalama yataongezeka, tuwe makini sana na hili...balance is everything
Nakubaliana na wewe. Ni heri kumvumilia machinga anayeuza mahindi ya kuchoma, miwa, cripsy, karanga, maziwa ya ndani n.k kuliko yule anayezunguka na saa, handkerchief, vehicle accessories (spana, crew driver n.k) vijola n.k kutoka nchi zingine. Hapa usitegemee nchi kukua, tutabaki kutegemea wahisani kutoka ughaibuni.Hakuna nchi iliwahi kuendelea kwa kuruhusu soko lake kufurika bidhaa cheap na za kiwango duni kutoka nchi nyingine.
Serikali inatakiwa kubana uangizaji wa bidhaa kutoka nchi zingine huku ikisaidia wazalishaji wa ndani. Nchi zote zimekuza hivyo chumi zao.
Kila kitu siyo lazima waanze wao.Kuweka rekodi sawa, Duniani kote hakuna nchi iliyoendelea kupitia MACHINGA, eg. US, UK, UAE, Qatar, Kuwait, Botswana, SA.
1. Hawalipi Kodi,
2. Ni bomu linalosubiri kulipuka kwa usalama wa biashara rasmi na mji kwa ujumla.
NB:
Warasimishe biashara kwa kujiunga vikundi na kuvisajili Kisha wapewe Mikopo