imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 47,545
- 72,829
Acheni kuwatesa wazee kwa kuwafungia vilabu vyao vya mbegeHopeless comment ever! Haya tuambie na wale wazee wa Machame waliomkataa Mwenyekiti wako wa maisha Mbowe Mugabe siyo wachaga au unafikiri wachaga wote wanakubali usani wa Mbowe?
View attachment 1450635
Mnawafungia into submission halafu halafu mnakwenda kuwarikodi
Shame kwa huyo mmasai mkuu wa wilaya