Hakuna mwenye kumiliki UFAHAMU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna mwenye kumiliki UFAHAMU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jogi, Mar 9, 2011.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Nimewajibika kuwaandikia enyi mjuao kiswahili, ya kwamba si mtu, kundi la watu, taasisi binafsi au za serikali, nchi, wala bara lolote linalomiliki "UFAHAMU" niwakumbushe, wanasayansi wa awali, kwa UFAHAMU wao walikubaliana kusema umbo la dunia ni kama meza kubwa, wakatengeneza na sheri kuwa ni marufuku kusema au hufundisha vinginevyo, kanuni za adhabu kwa kosa hilo ikawa ni kunyongwa ikithibitishwa umehubiri kinyume na "UFAHAMU" ule. Kwa wajuao, akatokea miongoni mwao kupata UFAHAMU tofauti ya kuwa dunia haiko kama meza, bali dunia ni duara, jopo la wanasayansi walipothibitisha mwenzao amepingana na UFAHAMU wao walimnyonga, hatimaye walikuja kubaliana na ufahamu wa marehemu kuwa dunia ina umbo la duara, yapimeni maelezo haya myaweke kwenye mizania ya mchungaji msataafu wa Loliondo. Mwenye hoja aweke jamvini.
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,009
  Trophy Points: 280
  Umenena ndg.nami nimekuwa na wasiwasi kuhusu dira ya hii sayari yetu. Kile tulichozoea kikiita magharibi mimi naita mashariki na mashariki naiita magharibi na hata hivyo dunia yote kwangu ni magharibi na au mashariki.
  Sitaki swali ukizingatia hoja hii kwamba hakuna binadamu mwenje kuumiliki ufahamu.
  .
   
 3. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unataka kusema kuwa babu wa Loliondo ame kwenda kinyume na ufahamu wa wana sayansi?
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Babu kawaambia dawa yake hajaigundulia maabara, wanasayansi/serikali wanaitafutia vigezo vya maabara, wangeangalia matokeo ya tiba. Siyo inatibu kwa mchanganyiko wa chemical compound, yale yale ya dunia kama mezaa!!!!
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Na hatuwezi kufahamu kila kitu.
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Imetupasa tumuache, wanaokubaliana na tiba yake wakatibiwe.
   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  hata mie sifahamu
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Inakuwaje wizara kujifanya inaumiliki ufahamu!
   
Loading...