Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake.
Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa).
Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio nambari one.
Maana yake nini? Hakuna mwanachama mwenye hati maliki. Wote wamejiunga tu kwa kufuata katiba na kanuni.
CCM kama chama kinataratibu zake za kuendeleza wanachama na baadhi yao kupewa nafasi serikalini.
Sasa kwa sababu ulipewa nafasi na CCM aina maana una hati miliki na CCM kwa taratibu ulizozikuta wakati unatoka kijijini kwenu.
Vijana ni muda wa kuichukua CCM kutoka kwa wahuni. Vita ni maendeleo sio kutetea ufisadi.
Nasema kama kada; yana mwisho kwa nyie wenye kudhani mna hati miliki.Unasema hivyo kama nani ?
Wote hao wanaojitapa ni wapuuzi tu.Hao wwhuni wenyewe miongoni mwao ni vijana, na wanajinasibu "CCM yao" kwasababu ndio huwa wanawaibia kura mkizidiwa kwenye uchaguzi mkuu, simply wao ndio huwapa ushindi muendelee kujiita chama tawala.
Ni majigambo tu ya akina Nape, January,Bulembo.
Wangejifunza kwa watoto wa Nyerere.
The picture is bigger than, that.Hao wwhuni wenyewe miongoni mwao ni vijana, na wanajinasibu "CCM yao" kwasababu ndio huwa wanawaibia kura mkizidiwa kwenye uchaguzi mkuu, simply wao ndio huwapa ushindi muendelee kujiita chama tawala.
Polepole,Mwigulu Nchemba,Ndugai na Tulia AcksoniMwambie Nape January, kinana na Kikwete
Kufuata Katiba na kanuni zipi hizi za rushwa na kuiba uchaguzi pamoja na kuabudu watawala?Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake.
Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa).
Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio nambari one.
Maana yake nini? Hakuna mwanachama mwenye hati maliki. Wote wamejiunga tu kwa kufuata katiba na kanuni.
CCM kama chama kinataratibu zake za kuendeleza wanachama na baadhi yao kupewa nafasi serikalini.
Sasa kwa sababu ulipewa nafasi na CCM aina maana una hati miliki na CCM kwa taratibu ulizozikuta wakati unatoka kijijini kwenu.
Vijana ni muda wa kuichukua CCM kutoka kwa wahuni. Vita ni maendeleo sio kutetea ufisadi.
Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake.
Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa).
Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio nambari one.
Maana yake nini? Hakuna mwanachama mwenye hati maliki. Wote wamejiunga tu kwa kufuata katiba na kanuni.
CCM kama chama kinataratibu zake za kuendeleza wanachama na baadhi yao kupewa nafasi serikalini.
Sasa kwa sababu ulipewa nafasi na CCM aina maana una hati miliki na CCM kwa taratibu ulizozikuta wakati unatoka kijijini kwenu.
Vijana ni muda wa kuichukua CCM kutoka kwa wahuni. Vita ni maendeleo sio kutetea ufisadi.
Hivi Bora kuwa muhuni au kiroboto?Wote hao wanaojitapa ni wapuuzi tu.
Wenye nguvu na hiko chama wanava jezi tu kwenye uchaguzi; tatizo lao hawana kura kwenye dira ya chama. But trust me you don’t want to mess with those ppl.
Issue ni hawa watu wanaodhani pekee ndio walienda jando.
CCM ni chama kikubwa kinachopenda haki na kushinda chaguzi zake kihalali.
Ila humo ndani kuna watu wanajiona wao CCM zaidi kushinda wengine in other words wahuni.
Huu mnyukano tuwaachie wenyeweHivi Bora kuwa muhuni au kiroboto?