Hakuna mwanaume kama brother angu

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,855
Umofia kwenu, Ndoa ya bro ina migogoro mwaka kumi huu wanaachana kama mwezi wanarudiana tena na shem ila bro kicheche na tungi hatari

Jambo la ajabu kwa mkubwa wangu huyu ni kua kwa sababu ya migogoro yao hii ilibidi shem atafute mwanaume nje ili amkaze na kumpa relief lkn akawa anagongwa na huyo jamaa ake lkn ilifika sehemu akaachana na huyo mchepuko wake

Cha ajabu alivoachana nao akaja kukonfes kwa brother na sababu ya kuamua kufanya hivyo lkn brother kamsamehe na maisha yanaenda powa na wala haimuumizi mpk namshangaa huyu mwamba kameza nini
 
Kwa nini unaona ajabu kaka yako kujua kuwa mkewe amegongwa na bado akaamua kumsamehe?

Lakini, huoni ajabu shemeji yako anajua uasherati wa kaka yako lakini bado kaamua kumsamehe na kuendelea na maisha?

Au kusalitiana ni kwa upande mmoja tu?

Kwamba mwanaume akicheat it is fine. Lakini mwanamke akicheat ni gonjwa na jambo lisilosameheka.

Aisee!....
 
Kuna wanawake hua wanajua ku-fit kwenye nafasi zao, hadi kila mkiachana naye na ukapata mingine, stil anabaki kua bora zaidi ya unaowapata baada yake.

Big up kwa bro wako kwa kuelewa kua ndoa ni zaidi ya kuchapiwa, by the way hata yeye anazichapa mbususu huko nje.....
 
Umofia kwenu, Ndoa ya bro ina migogoro mwaka kumi huu wanaachana kama mwezi wanarudiana tena na shem ila bro kicheche na tungi hatari

Jambo la ajabu kwa mkubwa wangu huyu ni kua kwa sababu ya migogoro yao hii ilibidi shem atafute mwanaume nje ili amkaze na kumpa relief lkn akawa anagongwa na huyo jamaa ake lkn ilifika sehemu akaachana na huyo mchepuko wake

Cha ajabu alivoachana nao akaja kukonfes kwa brother na sababu ya kuamua kufanya hivyo lkn brother kamsamehe na maisha yanaenda powa na wala haimuumizi mpk namshangaa huyu mwamba kameza nini
Atakuwa kameza roho ngumu na mbaya ya wanaccm
 
Aisee
 
Broo ako kameza hizo tungi ulizosema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom