Umenena vyema kabisa.Kwa nini unaona ajabu kaka yako kujua kuwa mkewe amegongwa na bado akaamua kumsamehe?
Lakini, huoni ajabu shemeji yako anajua uasherati wa kaka yako lakini bado kaamua kumsamehe na kuendelea na maisha?
Au kusalitiana ni kwa upande mmoja tu?
Kwamba mwanaume akicheat it is fine. Lakini mwanamke akicheat ni gonjwa na jambo lisilosameheka.
Aisee!....
Ukiona hivyo, ujue huyo kaka yako kajipa tickect rasmi ya kuendelea kuchapa nje. Kwasababu mkewe hataweza kumgombeza wakati naye anachapwa nje. Alilofanya shemeni yako kajiondolea nguvu ya kumlalamikia kaka yako maana naye atamkumbusha yake aliyofanya na akamsamehe. Kwa hili atakayeendelea kuumia ni shemeji yako na siyo kaka yako maana yeye kashaamua maisha yake kwahiyo atamchukulia kama wengine anaowachapa nje.Umofia kwenu, Ndoa ya bro ina migogoro mwaka kumi huu wanaachana kama mwezi wanarudiana tena na shem ila bro kicheche na tungi hatari
Jambo la ajabu kwa mkubwa wangu huyu ni kua kwa sababu ya migogoro yao hii ilibidi shem atafute mwanaume nje ili amkaze na kumpa relief lkn akawa anagongwa na huyo jamaa ake lkn ilifika sehemu akaachana na huyo mchepuko wake
Cha ajabu alivoachana nao akaja kukonfes kwa brother na sababu ya kuamua kufanya hivyo lkn brother kamsamehe na maisha yanaenda powa na wala haimuumizi mpk namshangaa huyu mwamba kameza nini
Hakuna mwanaume PIMBI na JUHA kama bro ako, sister [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umofia kwenu, Ndoa ya bro ina migogoro mwaka kumi huu wanaachana kama mwezi wanarudiana tena na shem ila bro kicheche na tungi hatari
Jambo la ajabu kwa mkubwa wangu huyu ni kua kwa sababu ya migogoro yao hii ilibidi shem atafute mwanaume nje ili amkaze na kumpa relief lkn akawa anagongwa na huyo jamaa ake lkn ilifika sehemu akaachana na huyo mchepuko wake
Cha ajabu alivoachana nao akaja kukonfes kwa brother na sababu ya kuamua kufanya hivyo lkn brother kamsamehe na maisha yanaenda powa na wala haimuumizi mpk namshangaa huyu mwamba kameza nini
Hata mimi nimeshangaa, alivyoandika heading nikajua ni bonge la jambo kafanya brother.Mambo ya kawaida tu hayo, mnayakuzaga bure tu.