Hakuna mwanamke mwenye makalio magumu

Hakuna mwanamke mwenye makalio magumu

Hivi hii jinsia ya kiume imepatwa na nini,Maana Mada zao kwa sasa ni za kijinga.
Mapenzi yenyewe tuu kiujumla ni ujinga na aibu.Tendo linalofanywa ufichoni ni aibu,lakini pia ujinga huwepo.Kilichoandikwa ndicho kilichopo kwenye mahusiano.Ujinga au sio ujinga ni mtazamo wa mtu.
 
Ni aibu kwakweli aina ya wanaume tulionao nchini
Hili ni jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki.Unafikiri pataongelewa siasa,au dini hapa?.Hapo yanajadiliwa mambo ya mahusiano yenye aibu na ujinga ndani yake.Hakuna busara kwenye mapenzi,kwa kuwa hufanyika tendo la aibu.
 
Ili unikomoe fanya kuweka video ya wyf wako akiwa anatikisa mkia/biriani lake mkuu
Hili ni jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki.Unafikiri pataongelewa siasa,au dini hapa?.Hapo yanajadiliwa mambo ya mahusiano yenye aibu na ujinga ndani yake.Hakuna busara kwenye mapenzi,kwa kuwa hufanyika tendo la aibu.
 
Kusimamisha mtaa,ni kauli yenye mbwembwe tuu.Lengo hapa ni wanaume kuweza kujivunia wapenzi au wake zetu kwani tunaweza wafanya nao wakawa na maumbo mazuri au makalio mazuri tuu.
Umetumia njia gani kuyalainisha?
 
Hii mada inahusu nini naona mapovu tu
Hii mada ni TOKOMEZA TAKO GUMU.Maana yake ni kwamba, msambwanda au mtikisiko wa makalio kwa wapenzi wetu waweza fanywa na sisi wanaume makwetu pasipo kutamani wapenzi wa wenzetu.
 
Back
Top Bottom