HAKUNA MWANAMKE MALAYA

HAKUNA MWANAMKE MALAYA

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,672
Hakuna mwanamke malaya, wala hakuna mwanaume bwege!
Mwanamke ambaye umekua ukimfwatilia kwa miezi 12 sasa ndiyo ametoka kulala na mwanaume ambaye wamekutana siku tatu tu zilizopita.
Mwanamke ambaye ulimtongoza na kumpata ndani ya wiki moja kuna jamaa mwaka wa pili sasa anafwatilia na ashaliwa pesa nyingi tu za kutosha wakati wewe hata hela ya bajaji hukutoa.
Kama ameona kitu kwako, akakupenda na kushindwa kujizuia ukampata kirahisi acha kupiga kelele na kumuita MALAYA.

Lakini kwa wanawake, huyo jamaa ambaye mmekutana juzi tu lakini kashakununulia iPhone, hajawahi kumtumia X wake hata vocha
Kama umebahatika akakupenda na kuchanganyikiwa kwa muda mfupi juu yako, acha kujidnaganya kwamba jamaa ni BWEGE ukaona hajitambui ni wa kuchuna tu!
Mwanamke akikupa mwili wake na kuchanganyikiwa juu yako haimaanishi kuwa ni MALAYA, hivyo hivyo mwanaume akiamua kukuheshimu na kukutunza haimaanishi kuwa ni BWEGE
.. Ni bora kupendwa na mtu sahihi maana vitu vinadanganya unaweza ona umefika kumbe unacheleweshwa na hivyo vitu unavyopewa..
 
Wewe ni jinsia gani kwanza tuanzie hapo!isije ikawa ni jike dume

Sent by Diaspora
 
Kuna wanawake kule kwetu Tanga tunawaita mlango wa nane== manake mikosi.

ila kuna wengine nyota zinawaka ile mbaya watu wanapata vyeo, fedha, safari ajili ya mbunye za wanawake. km nanii... alipopata urais tu hakumsahau mchepuko wake akampa cheo kikubwa serikalini. nimejenga ghorofa hili hapa ajili ya mchepuko nyota. ila mama watoto wa zamani sikupata hela km huyu niliye naye, ebu jionee mwenyewe; Mungu jamani anipe nini? na je kwa nini nisionge mchepuko wangu
1127176
images.jpg
 
Kwa maisha ya bongo eti mimi ni tajiri
 
Back
Top Bottom