Najua watu mtapinga,ila kama ikiwa hujamkuta bikra, basi probability ya huyo mke kuchepuka ni kubwa sana. Ukitizama sasa hivi hamna watu wanao ongoza kuvunja uchumba unao elekea kuwa ndoa au ndoa yenyewe kama ma-ex,kwani ndondo zinapigwa sana na ukifanya masihala humo humo kwenye watoto wako,basi na ex nae anawake.