kama binadamu,
tunategemeana na kwakweli tunayo mapungufu ya kiasili,
ni muhimu kustahimiliana, kuvumiliana na kusitiriana.
Tafadhali tuchukuliane kulingana na mapungufu na makosa ya kibinadamu,
tusimlaumu sana shetani,
ni muhimu kutubu na kuomba msamaha kwa Mungu, na tujirekebishe na tukiweza tuache michezo hiyo, turidhike na tulichonacho π