Hakuna mwaarobaini wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna mwaarobaini wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Annael, Jun 18, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,339
  Likes Received: 10,439
  Trophy Points: 280
  Nimejitahidi sana kufuatilia mijadara mbalimbali ya Bunge nimegundua vyama vya upinzani bado vichanga havijakomaa.
  mfano CHADEMA wamekaa kupiga kelele tu.
  Kwenye budget wanaongea tu bila hata kuchambua. wamejikita sana kwenye uwanaharakati sio katika utalaamu. Naona wameoata kidogo na wamelewa madaraka.
  No way hakuna chama kilicho komaa mpaka sasa cha kusimama na kuongoza nchi. kumbe CCM angalau.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa mfano leo jioni Nchemba na Komba wamechambua bajeti vizuri sana.
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  CCM wao huwa wanaongea na kuchambua mangapi na kwenye nyanja ipi hasa??

  Hiyo 'NDIYO' wanayoitoa kwa kila lisemwalo ndo fahari???
  Ni bora wakae tu majumbani........maanake hata mtoto wa chekechea anajua kutamka ndiyooooo!!!! Unless otherwise useme kwamba wapo pale kwa ajili ya kuimbia posho .....
   
 4. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,339
  Likes Received: 10,439
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe umeangalia mjadala wa budget au kwa sababu tu huipendi CCM?
  Wamechambua kitu chochote na kutoa mawazo yao? kama chama kikuu cha upinzani wamesema nini sasa leo?
  Nahisi kama wewe ni mzarendo wa nchi huwezi kuvumilia hiki cha wabunge wa chadema labda tu uwe mshabiki.
  Tunataka kujenga nchi.
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaaa katavi mkorofi sana, mwenzako Annael KAJITAHIDI SANA kufatilia MIJADARA, afu we unamjibu kirahisirahisi tu? unamaanisha nini sasa kwamba kama kajitahidi sana afu hajaona hiyo inawezekana.......ngoja nisimalizie maana kina invisible wakali sana siku hizi
   
 6. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,563
  Likes Received: 16,531
  Trophy Points: 280
  Annael nadhani wabunge wachadema walikuwa na point nzuri tu mfano David Silinde,na hata Tundu Lissu ,ila kwa Lissu apunguze tu hasira japo najua kuna mambo yanaudhi kwenye hii serikali sikivu.Ningemuomba tu Mh.Lissu apunguze hasira na jazba kwani zinapunguza umakini wa point zake basi.Vinginevyo hata wabunge waccm pia hawakutumia busara kwa kutumia lugha ya matusi mwisho wa siku wamejikuta wamepwaya kwenye point.Chamsingi uvumilivu tu.
   
 7. a

  andrews JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CHAMA LEGELEGE HUZAA SERIKALI LEGELEGE=NYERERE.
  SASA MBONA MNATOKWA NA MAPOVU WAKATI MECHI HAIJAANZA POSHO UNAYOPEWA NA NAPE HAITAWARUDISHA IKULU 2015
  :plane: BYE CCM RIP
   
 8. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ulikuwa wapi wakati tumewekewa hapa bajeti aliyoisoma Zitto. Imegusa mambo yote. Ni sehemu gani unaona haijitoshelezi au not doable
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaah!! Nimemjibu hivyo kwa sababu namuogopa Invisible.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Huna lolote wewe unajaza server na thread zako ambazo hazina Mshiko
   
 11. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Anna najua haujakunwa siku nyingi,nenda jukwaa la mahusiano ukatafute mume huko,naona watutafutia ban bure,watu wengine sijui waremavu wa akili!
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huna tofauti na hayo madai yako hoja zako nyepesi sana, Uchambuzi kwenu siunafanywa na Kina Wassira,Lusinde,Komba,Simbachawene,Mwigulu na Mama Kilango bila kumsahau Maji marefu.Kumbe siyo wabunge na viongozi wenu ugonjwa huu umekwenda mpaka kwenu wakereketwa.
   
 13. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  I like your signature. it depicts your character. 'MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI'
   
 14. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mimi nashangaa sana kuwaponda watu wasio na madaraka kwamba budget yao haina mashiko. CHADEMA hawana wataalamu wa uchumi, mawazo yao ni lazima yawe ya ujumla na ya kisiasa sana. CCM wana kila kitu lakini tuna jiuliza pamoja na wataalamu wote walio nao hii ndiyo budget ya kuiweka mezani kweli kweli? Kuna shida kubwa.

  Mwarobaini wa CCM upo ni CDM tu wapeni madaraka, wakae na wataalamu, na nyenzo wafanye kazi.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 16. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,339
  Likes Received: 10,439
  Trophy Points: 280
  Tayari sasa hivi kuna mgogoro mkumbwa kwenye CHADEMA wewe huelewi tu. Kunawatu kama akina Slaa wametolewa ubunge ili wazimwe. Na history ya Slaa ndio inapotea hivyo na wenye chama watabaki wewe subiri utaona.
   
Loading...