Hakuna mtanzania anayeitamani CCM ile chafu!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.

Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!

Viva JPM...SONGA MBELE

NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Huyo kamwe hawezi kupata teuzi anazeekea pale uwt kila asubuhi anafika na kusafisha viti vyao vya nyani kachoka na kigazeti chake cha uhuru mkononi
Kamwe sipo kwa ajili ya uteuzi.
 
Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.

Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!

Viva JPM...SONGA MBELE

NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Jikombe sana. Hata Makamba aliwakejeli wapinzani kubatizwa kwa moto. Leo umemuwakia. Dogo aliwahujumu wananchi kuchezea kura zao, Leo amechezewa. Nape alipanga na la mkono akaishia kunyoshewa bunduki.

Nawe imba kesho utaisoma tu numbers
 
Dua la kuku
 
Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.

Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!

Viva JPM...SONGA MBELE

NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tunahitaji mwenyekiti wa CCM anayeweza kuchukua maamuzi magumu.Tunakuamini Magufuli.CCM inanuka,inahitaji maamuzi magumu,inahitaji radical change.I believe you can.
 
Back
Top Bottom