Hakuna mtanzania anayeitamani CCM ile chafu!

Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.

Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!

Viva JPM...SONGA MBELE

NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mbona wachafu wote bado wapo nani kaondoka viva miaka 50 ya uchafu
 
Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.

Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!

Viva JPM...SONGA MBELE

NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Nhie ndio mafisafi.. tutaitaka chadema.
 
Mmeanza kuwakashifu viongozi wenu sasa kwa kujikomba ili mpatiwe teuzi
Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.

Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!

Viva JPM...SONGA MBELE

NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Hata hii mnayosema mpya nayo ni chafu pia hakuna anaeitamani, binafsi yangu siipendi kweli ccm.
 
chawene alitumbuliwa naona karudi tena bila maelezo.
wenda kuna shortage ya manpower ccm
hicho chama wamejaa vilaza ndio maana mwenykit wao anafanya usajili hadi wachezaji wa nje ili kukidhi mahitaji.
 
Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.

Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!

Viva JPM...SONGA MBELE

NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Amepora Korosho za wakulima huko kusini hii ni aibu kubwa kwa serikali ya hovyo ya kichaa.
hiyo ccm ya hovyo wewe ulishabikia nawe ni wa hovyo tu
kwedikwazu hakuna madafu labda ya kichawi
 
Kinachotofautiana ni aina ya uchafu tu lakini hii CCM ya sasa ni chafu zaidi!
 
Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dr.John Pombe Magufuli fungua begi jipya la mikasi na visu vya kutumbua majipu yaliyokuwa makalioni mwa chama...wenyewe watasema yana harufu na wataalamu wanasema yanachukua muda kupona baada ya kutumbuliwa...lakini hakuna tiba nyingine zaidi ya kuyatumbua hata kama harufu ni mbaya basi agiza mask,gloves ndefu na aprons ili uweze kuyatumbua kisawasawa.

Mabadiliko yanahitaji mbadilishaji asiyesita wala kubabaishwa !!

Viva JPM...SONGA MBELE

NIPO KIJIJINI KWEDIKWAZU NAKULA MADAFU!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hakuna anayetamani CCM inayonuka damu
 
Lumumba kweli mmekwisha mnakata matawi mliyokalia??
Jingalao ndo mnaondoka hivyo!!
 
CCM KWA SASA KINASHIKILIWA NA WAGANGA WA GAMBOSHI.
 
Back
Top Bottom