Serikali inaongozwa kwa kufuata sheria na Katiba. Isitoshe kuna sheria za kimataifa na mikataba ambayo serikali imeridhia.
Ndio maana serikali huwa inashitakiwa na imeshashindwa mara nyingi tu.
Hii issue ya bombardier serikali inatakiwa tu ilipe deni la watu yaishe. Mambo ya kusingizia wanasiasa na upuuzi mwingine ni kupoteza muda.
Na wewe mjinga uliyeleta huu Uzi, ujue nchi inadaiwa tena kwa riba.
Sent using
Jamii Forums mobile app