Hakuna mkubwa zaidi ya serikali

Serikali inawekwa na wananchi na inandolewa na wananchi. Hakuna serikali bila wananchi lakini kuna wananchi bila serikali.
Siku wakiamua kumtoa pale magogoni, saa mbili asubui anarudiswa kwao Chattle.
 
Hivi ndugu yangu MR Lissu! Wanasheria wooote wamekaa kimya kwa kujiandaa namna ya kumshauri baba mwenye nyumba, wanatumia busara au wana kasoro? Nenda taratibu kama wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipara kipya nakuunga mkono kwa kila jibu lako , wasije kwa mgongo wa vyama vingi, hawa ni wahujumu uchumi tu wakishirikiana na mabepari, Magu wamalize tu..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia hii rulling nyumbani kwako kwanza, kama ikifanya kazi ndiyo uje umshauri Rais.
 
Kwa nini Watu wapotezwe? Mnataka kuleta machafuko au? Mshindwe kabisa! Huyu Kpara ngoto atakuwa na vinasaba vya kumfanania bwana mmoja akiitwa Seth Benjamin [emoji3][emoji3][emoji3]
 
sawa maandazi
 

Ni kweli hakuna mkubwa zaidi ya serikali, Vile vile hakuna aliye juu ya DENI.

Na dawa ya deni ni kulipa. Hakuna namna
 
sawa maandazi vitafunwa vya chai
 
Kaka una roho ngumu!!??
Usijekuwa kama jamaa mmoja yeye alikuwa tayari hata kutoa matako yake ili mradi tu mgombea aliyemtaka apite.

Wewe sasa unaelekea kumzidi kwa mahaba hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
mmelambishwa dawa kumbe mlikuwa mnataka kutoa vitu subirini kilichomtoa kanga manyoa na huyo vuvuzela labda ahame nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…