Huu muandiko kama Bashite, zero brain kabisa weweTangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Kama mnataka kukwamisha maendeleo kimtindo aliotumia vuvuzela dawa yake ni hiyo tu hakuna kubembelezaTatizo lenu mnaomshangilia huyu mtu ni uwezo mdogo wa kufikiria, kukosa busara na ushamba.
Kama mnataka kuongoza nchi ki-North Korea anzeni kufuta siasa za vyama vingi.
Kuna watu mnapenda kuimba tu "Ndiyo Mzee" nje ya hapo hamna mnachojua.
Akili zenu mmempa mtu mmoja. Mtu mwenyewe na yeye uwezo wake mdogo.
Hii nchi ya kwatu sote kila mtu anayohaki ya kukemea maovu serekaliTangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Kila atakaeleta fyoko atatulizwa kwa mujibu wa sheria!Huu muandiko kama Bashite, zero brain kabisa wewe
Uhuru atosha
Kama mnataka kukwamisha maendeleo kimtindo aliotumia vuvuzela dawa yake ni hiyo tu hakuna kubembeleza
Sio kila siri ya serikali ina sifa ya kua sirini.Yule anaetafuta siri za serikali na kuzituma huko kwa mabeberu na kila anamsapoti tunajua sio watanzania wanapaswa kushughulikiwa
Huko kulikosheheni vyama vyenye maana uchaguzi ukiisha watu wanaungana wanajenga nchi na si kutafuta nani anaidai nchi yake ili tu utuonyeshe ujinga wako kwa kujifanya unapambana,Acheni maneno basi. Mwambie JPM afute hivyi vyama haraka sana. Hamna haja ya maneno maneno.
Mtakapoanza kufa kama nzi akili zitawakaa sawa.
Ndio tanzania yetu mtu akivua nguo zake akicheza uchi watu wazima na akili zao na wamo na vigeleleMarekani yenyewe ina madeni what's a big deal Tanzania kudaiwa
Ni vizuri wakati serikali ikijifunza na hawa wengine nao wafunzwe ili wasije tokea ndumilakuwili wengineSio kila siri ya serikali ina sifa ya kua sirini.
Siri za Serikali zinazotakiwa kua sirini ni zile zinazotoa faida kwa nchi lkn zinazoleta hasara hazina sifa ya kua siri za serikali.Inatakiwa zivujishwe ili mijadala kama hii itokee ili watendaji wa serikali wajifunze ili makosa yasirudiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kulikosheheni vyama vyenye maana uchaguzi ukiisha watu wanaungana wanajenga nchi na si kutafuta nani anaidai nchi yake ili tu utuonyeshe ujinga wako kwa kujifanya unapambana,
Akili za kitumwa hizo aliyesababisha deni alinyimwa mlungula10% akafukuza mkandarasi.Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Huyo kinara wa kuhujumu maendeleo anachuki na mkulu nyie anawatia kwenye mnyororo kama anapigania nchiHuko unapopaongelea uchaguzi ukiisha raia wana haki zao zote za msingi kama kufanya maandamano, kumkosoa Rais, n.k. Huko unapopaongelea uchaguzi ukiisha Rais anasimamia katiba bila kujifanya yeye Mungu mtu.
Huko unapopaongelea nchi zinalipa madeni yake kwa wakati na si huku mpaka ndege ikamatwe.
Hili deni limesababishwa na maamuzi uchwara ya nani kama si huyo unayemtetea?
Lazima asafishe visiki na vizingiti na wanaoshirikiana na mabeberu
Ok nawe upo na matangazo ya biashara yakoMihemko ya kishamba haitakutoa dogo. Mikataba yote ya kushirikiana na mabeberu anayo yeye, na inaitwa ni ya siri. Aiweke hadharani tuione waliosaini na hao mabeberu, tukikuta jina lako au la babaako uandae K.Y jelly kabisa kwa usalama wa marinda yako maana ukuta lazima tukushikishe.
Huyo kinara wa kuhujumu maendeleo anachuki na mkulu nyie anawatia kwenye mnyororo kama anapigania nchi
We kweli kipara kipya, ndio maana wahenga walisema akili ni nywele kila mtu ana zake sasa kwa kipara kipya sijui kama kuna nywele zimebakiaTangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Ok nawe upo na matangazo ya biashara yako