kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Nchi lazima iendeshwe kama north korea heshima itapatikana!Ni nani ameleta lugha mbaya kama hii. Raisi wetu hayuko hivyo. Acha roho mbaya ya kishetani unataka kutuingiza katika upotovu wa amani. Watu wa aina yako ni hatari katika nchi yoyote.
Mungu na ushindwe kabisa.
mmewachwa mcheze barazani sasa mnaingia chumbani!kipara kipya cha kalio
mmewachwa mcheze barazani sasa mnaingia chumbani!
Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
Lazima asafishe visiki na vizingiti na wanaoshirikiana na mabeberuKwa hiyo wewe unamsingizia Raisi Magufuli kwamba ni muuaji anaua watu wanaomsaidia kuona na kurekebisha kasoro za srikali? Unadhani Magufuli ana akili za kipumbavu kama wewe?Unafikiri hajui kwamba upumbavu wa aina yako ndio umemfanya halali usiku mchana kutwa hapumziki akitafuta kujenga Tanzania mpya ambayo upumbavu kaam wako ndio ulioharibu?
Unadhani hajui madhara ya ufisadi?
Umeona maisha wanayoishi familia yake kule chato ,na kwa akili yako unadhani hajui dhiki zile ni kwa upumbavu kama wako?
Unafikiri habari za mikataba fake, na kila analopambana nalo kwa miaka huu wa pili bila mafanikio, hajui kwamba ni matunda ya upumbavu kama wako?
Unadhani raisi wetu ana akili za panzi kama zako za kusahau naman hao unaosema wanaleta fyoko walivyopigana Bungeni kuzuia uharibifu anaohangaika nao leo?
Unafikiri wakati anasema "serikali yake ina mawaziri wapumbavu, alikuwa anaropoka?
Bila shaka wew eni lipumbavu, mla nyama za watu usiyetumia hata akili kuwaza.
MAGUFULI ANATESEKA SANA . NA KAMA HUJUI, NDIYO SABABU ANAPATA SHIDA HATA KUPANGA SAFU YAKE KWA KUWA ANALAZIMISHWA NA ILANI KUCHAGUA WASAIDIZI KATI YA GENGE LA MAPUMBAVU YALIYOHARIBU NCHI!.
LA SIVYO, MAPUMBAVU KAMA WEWE NDIO HASWA MNAOHITAJI KUSHGHULIKIWA. PUMBAVUE KWELI KWELI.
matusi na jazba hazisababishi kuonyesha wewe ni mpinzani wa kweliHilo unalolitaka haliwezekani,
Akili zako zipo kwenye ........ Punguza ujinga
Uliyoyaandika unaonesha upo empty upstairs
Yule anaetafuta siri za serikali na kuzituma huko kwa mabeberu na kila anamsapoti tunajua sio watanzania wanapaswa kushughulikiwaMimi sidhani kama watu wengine hapa jf ni watanzania halisi. Kama huyu kipara. Nadhani ni wale wachochezi wanaotaka nchi zetu ziende kwenye vurugu.
Kila moja wetu awatambue "hawa wanaotaka serikali iwe juu ya wananchi na itumie nguvu"
Hawa ni maadui wakubwa wa nchi hii. Tuwatambue kwa majina na serikali iwachulie hatua za kisheria kwa kuitaka serikali iwe ovu. AMEN!
Nchi lazima iendeshwe kama north korea heshima itapatikana!
Lazima asafishe visiki na vizingiti na wanaoshirikiana na mabeberu
Pumbav,jitu likurupuke huko lije litutie hasara!!!Uliza kwanini Yona na Mramba walifungwa jela!!!!!!!Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani kumezuka kakundi kadogo cha watu kinachotaka kujifanya kinapingana na kila jambo la serikali labda niwakumbushe serikali hakuna aliye mkubwa kuliko serikali ndani ya nchi,
sasa wapuuzeni na mchukue tahadhari muwafiche mpaka miaka kumi ikifika ndio tuwaone baada ya uchaguzi,dunia hii hakuna jipya serikali zote zinadaiwa na linapofika swala la kitaifa watu huungana na kuwa kitu kimoja ila kwa nchi hii hakuna kwani kipi cha ajabu tangu kipindi hicho nchi ilikua inavunja mikataba na inashindwa nani alisema au sasa kwa kuwa mnajua kutumia mitandao makalio juu
Rais fanya kama ulivyoahidi atakaelta fyoko mtulize na usiogope anza na huyu kimbele mbele kupoteza mmoja na kuokoa mia hujafanya kosa!
Wewe ndio mkuu wa nchi
popote walipo wanaojaribu kuhujumu nchi kwa mgongo wa kisiasa mjue mkono wa serikali ni mrefu na itawafikia!Kama raisi ni muuaji basi aanza kukuua wewe na mapumbavu wenzako mliouza nchi na raslimali zake na bado hamuoni ushetani wenu kwa taifa kiasi cha kubaki mnatoa mimacho pale raisi anapohangaika kwa maupumbavu yenu!.
Upumbavu ni upumbavu tu na upumbavu hautjitambui.
Hujui kama wewe na mapumbavu menzako ndiyo kikwazo cha uhai w ataifa hili? Tuwaombee mfe enyi pumbavu watesi wa taifa hili??
Pumbavu kweli kweli.