Mkuu Molemo jana nilitingwa na shughuli nyingine za kitaifa nikashindwa kuhudhuria mkutano huo uliokuwa uwanja wa nyumbani.
Nashukuru kwa kutuwekea kipande hiki cha yaliyojiri jana.
Masalia wamejulikana na sasa wanahaha kutafuta namna ya kujisalimisha.
hayo maneno yanapaswa kuzungumzwa kijijini ambapo hakuna vyombo vya habari
Ndugu Molemo , asante sana kwa taarifa , mungu akuwezeshe na mwaka huu uendelee kutujulisha mambo mazuri .
Hilo halina ubishi, CHADEMA hakina mgogoro bali kina kundi/makundi ambayo yako mbioni kuzaa mgogoro/migogoro kama chama kitaendelea kuyabeza kama kinavyofanya kwa sasa.
Chadema hakuna makundi bali kulikuwa na kundi moja tu la PM7 ambalo kwa bahati nzuri tayari limeshaelekezwa kibla.
Sasa huo mgogoro unaoutabiri utaanzia wapi? Au unajiandaa kuanzisha kundi? Tuko makini tutakubamba tu ukijaribu...
Ukificha maradhi kilio kitakuumbua. Karatu baadhi ya watendaji wamesimamishwa na uchunguzi dhidi ya ubadhirifu unaendelea. Ilemela mambo si shwari, Mpanda wamefukuzwa watu na Mbeya pia! Wenjen Mwl Nyerere alisema "Mubhisabhisa bhurweri ekirilo kilimubhura" yaan ukificha ugonja... Nawatakia mwaka 2013 mwema!Hilo halina ubishi, CHADEMA hakina mgogoro bali kina kundi/makundi ambayo yako mbioni kuzaa mgogoro/migogoro kama chama kitaendelea kuyabeza kama kinavyofanya kwa sasa.
Poti ulisiza bhageshi,hivi nidokezee hayo makundi/kundi unavyothibisha kwa nguvu zote yako wapi vile je ni ya kina nani vile,nijuavyo mimi ilikuwa ni masalia aka PM7 lakini wamebainika na utaratibu wa kuwashughulikia uko mezani na tunajua waliouasisi na supoort kubwa pia wanapata kutoka CCM akiwemo Mwigulu.sasa naona bhageshi unauhakika kundi/makundi yapo wakati wengine hatuyaoni,au labda unajua yanenda kuanzishwa mengine?basi tudokezee poti,maana siku hizi mawasiliano ya kila aina yapo hata nikiwa Ikungulya bhashasi,au Senani taarifa zitanifikia,hebu nidokezee poti,maana mi najua kalikuwepo kajikundi ka masalia nako kamebainika.Mkuu,
Hizi swaga kama hizi hata CCM ndizo walizokuwa wanazitumia, unfortunate, hata wewe/ninyi mmezikwapua.
Uchaguzi wa ndani na kuelekea kwenye chaguzi za nchi ndizo zitathibitisha usemi wako. Mtaji wa kisiasa nchini ndio unaweza kuwa ni kitanzi chake kama viongozi wataendelea kuwa na swaga kama zako.
Hii nisemayo ni sauti tu ya nyikani. Take my word, CHADEMA kuna kundi/makundi.