Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Sep 6, 2012 #1 nimeweza kudownload operamini version 4 mbili tofaut kwenye mchina tecno T451, na iko poa kabisa,ushauri kama itadhuru cm au lah!
nimeweza kudownload operamini version 4 mbili tofaut kwenye mchina tecno T451, na iko poa kabisa,ushauri kama itadhuru cm au lah!
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Sep 6, 2012 #2 ila huwa znakuaga slow balaaa
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 130 Sep 6, 2012 Thread starter #3 nahc ila mtandao ukzngua ndo inakuwa hvyo
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,413 Sep 6, 2012 #4 zipo slow sababu hata edge simu za kichina hazina zina gprs ambayo speed maximum ni 5kBps
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Sep 6, 2012 #5 chief-mkwawa said: zipo slow sababu hata edge simu za kichina hazina zina gprs ambayo speed maximum ni 5kBps Click to expand... ha ha ha vuta picha ndo unadownload file la gb kadhaa 4 that speed! Mbona kilio.,...
chief-mkwawa said: zipo slow sababu hata edge simu za kichina hazina zina gprs ambayo speed maximum ni 5kBps Click to expand... ha ha ha vuta picha ndo unadownload file la gb kadhaa 4 that speed! Mbona kilio.,...
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,413 Sep 6, 2012 #6 nurbert said: ha ha ha vuta picha ndo unadownload file la gb kadhaa 4 that speed! Mbona kilio.,... Click to expand... Ila sishangai phone memory za kichina wakuta kb 300 so ukigawanya kwa 5 hapo kama mara 30 hivi so ndani ya sekunde 30 umejaza phone memory
nurbert said: ha ha ha vuta picha ndo unadownload file la gb kadhaa 4 that speed! Mbona kilio.,... Click to expand... Ila sishangai phone memory za kichina wakuta kb 300 so ukigawanya kwa 5 hapo kama mara 30 hivi so ndani ya sekunde 30 umejaza phone memory
Achahasira JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,213 Reaction score 215 Sep 6, 2012 #7 chief-mkwawa said: Ila sishangai phone memory za kichina wakuta kb 300 so ukigawanya kwa 5 hapo kama mara 30 hivi so ndani ya sekunde 30 umejaza phone memory Click to expand... mwambie akachukue lumia 920, dah hui sim lazima itue kwangu maana ni perfect
chief-mkwawa said: Ila sishangai phone memory za kichina wakuta kb 300 so ukigawanya kwa 5 hapo kama mara 30 hivi so ndani ya sekunde 30 umejaza phone memory Click to expand... mwambie akachukue lumia 920, dah hui sim lazima itue kwangu maana ni perfect
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Sep 6, 2012 #8 chief-mkwawa said: Ila sishangai phone memory za kichina wakuta kb 300 so ukigawanya kwa 5 hapo kama mara 30 hivi so ndani ya sekunde 30 umejaza phone memory Click to expand... ha ha! Zle cmu hazijiwez ila nikiendaga kijijin kwa babu almost kijiji kizima wanatumia! Kama cmu haina sauti jubwa hawaitaki
chief-mkwawa said: Ila sishangai phone memory za kichina wakuta kb 300 so ukigawanya kwa 5 hapo kama mara 30 hivi so ndani ya sekunde 30 umejaza phone memory Click to expand... ha ha! Zle cmu hazijiwez ila nikiendaga kijijin kwa babu almost kijiji kizima wanatumia! Kama cmu haina sauti jubwa hawaitaki