TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
Kwa wale wenye umri mtakuwa mnamkumbuka pele wa Brazil miaka ya 60 na 70, lakini baadae miaka ya 80 aliibuka Maradona.
Miaka ya hivi karibuni akatokea De lima,Ronadinho, kaka nk.Sasa hivi wanavuma Christian Ronaldo na Lionel Messi, je inawezekana kati ya hawa wote hakuna aliyefika kiwango cha pele?