Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,463
Rejea kwenye uzi utaona kuna mahali nimesema "wanafunzi". Maswali kama haya huwaangusha wanafunzi hata walio vyuo vikuu.Labda ungefafanua watu wakishafahamu maana na matumizi ya hilo neno kuna faida gani kwa mtu binafsi na taifa taifa kwa ujumla.
Rejea kwenye uzi utaona kuna mahali nimesema "wanafunzi". Maswali kama haya huwaangusha wanafunzi hata walio vyuo vikuu.
Rejea kwenye uzi utaona kuna mahali nimesema "wanafunzi". Maswali kama haya huwaangusha wanafunzi hata walio vyuo vikuu.
Nyie ndo mnasababisha wanafunzi wafeli mitihani, tangu lini JF ikawa Mamlaka ya kutoa Rejea mashuleni ? Kama ni tafsiri ya maneo ya Kiswahili sitarajii kama JF ni Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Je, mwanafunzi akifanya rejea ya neno kutoka Jf kwenye majibu ya mtihani ataandika kuwa source ni JF ? Aidha, hao wana JF watakakaotoa maana ya hilo neno, una uhakika gani ni ni sawa ? Acheni kuchangia kushusha kiwango cha elimu ya Tanzania.Pole mkuu! it needs heart to deal with people! naona comment ya kwanza tu majungu! as if umeleta utumbo hapa!
Thanks mkuu!
Wenye akili wamekuelewa.Nyie ndo mnasababisha wanafunzi wafeli mitihani, tangu lini JF ikawa Mamlaka ya kutoa Rejea mashuleni ? Kama ni tafsiri ya maneo ya Kiswahili sitarajii kama JF ni Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Je, mwanafunzi akifanya rejea ya neno kutoka Jf kwenye majibu ya mtihani ataandika kuwa source ni JF ? Aidha, hao wana JF watakakaotoa maana ya hilo neno, una uhakika gani ni ni sawa ? Acheni kuchangia kushusha kiwango cha elimu ya Tanzania.
Mnadanganya na kupongeza baada ya kudanganyana. Tume inakasimu madaraka yake kwa Watendaji wa Kata na Mkrugezi wa Halmashauri kutangaza washindi wa nafasi za Udiwani na Ubunge katika ngazi hiyo. Hivyo katika ngazi hizo, hao wanaotangaza matokeo hayo ndio "Tume". Katika ngazi ya Urais matokeo yanatangazwa na Mwenyekti wa Tume ambaye pia katika ngazi hii ni "Tume". Sasa inakuwaje Diwani na Mbunge wasiwe "wateule" kabla ya kuapishwa ? Rais kabla ya kuapishwa awe Mteule ilhali hawa wawe ni Wabunge na Madiwani kabla ya kuapishwa ilihali wote wametoka kwenye chungu kimoja. Jaribuni kuchmbua mambo sio kila kichosemwa na Kiongozi mnaona sawa tu hata kama ni kwa manufa yake binafsi.wenye akili tumekuelewa.
malofa watakupuuza.
hata magazeti nao wanaandika mbunge mteule.
Muone juha huyu!! Ukishafahamu maana yake umeelimika na ukielimika huwezi kuendelea kufanya makosa au kurudia kosa!! Voda fasta buanaaa!!!Labda ungefafanua watu wakishafahamu maana na matumizi ya hilo neno kuna faida gani kwa mtu binafsi na taifa taifa kwa ujumla.
hii aina umuhimu wowote kwa sababu aina madhara yoyote ikitamkwa tofauti
Nyie ndo mnasababisha wanafunzi wafeli mitihani, tangu lini JF ikawa Mamlaka ya kutoa Rejea mashuleni ? Kama ni tafsiri ya maneo ya Kiswahili sitarajii kama JF ni Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Je, mwanafunzi akifanya rejea ya neno kutoka Jf kwenye majibu ya mtihani ataandika kuwa source ni JF ? Aidha, hao wana JF watakakaotoa maana ya hilo neno, una uhakika gani ni ni sawa ? Acheni kuchangia kushusha kiwango cha elimu ya Tanzania.
Mnadanganya na kupongeza baada ya kudanganyana. Tume inakasimu madaraka yake kwa Watendaji wa Kata na Mkrugezi wa Halmashauri kutangaza washindi wa nafasi za Udiwani na Ubunge katika ngazi hiyo. Hivyo katika ngazi hizo, hao wanaotangaza matokeo hayo ndio "Tume". Katika ngazi ya Urais matokeo yanatangazwa na Mwenyekti wa Tume ambaye pia katika ngazi hii ni "Tume". Sasa inakuwaje Diwani na Mbunge wasiwe "wateule" kabla ya kuapishwa ? Rais kabla ya kuapishwa awe Mteule ilhali hawa wawe ni Wabunge na Madiwani kabla ya kuapishwa ilihali wote wametoka kwenye chungu kimoja. Jaribuni kuchmbua mambo sio kila kichosemwa na Kiongozi mnaona sawa tu hata kama ni kwa manufa yake binafsi.