comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,097
Wewe komredi unataka kutupishanisha na bikra 72 wenye macho makubwa yenye presha na mito ya mivinyo maridhawa.Acha kulishwa matango pori na DINI zilizokuja na mashua, hakuna pepo wala jehanamu.
Pepo yako ukikomaa unaipata hapahapa duniani, au haujui Kuna familia tayari hapa Tanzania zishafika peponi kabla ya kufa!?
Mambo ya peponi na jehanamu ni vitisho kwa maskini ili wasiwasumbue ambao tayari wapo peponi hapa duniani, wao wakiwa wanaisubiri pepo ya uongo ya wazungu na waarabu.
Watu wanafosi mazingira, tafuta pesa kwa njia yoyote Ile ilimradi uipate, hakunaga pesa haramu.
Kwanza waarabu wanadharau sana huo utoto nani ataamini?Wewe komredi unataka kutupishanisha na bikra 72 wenye macho makubwa yenye presha na mito ya mivinyo maridhawa.
Kwa hiyo unawadharau Waarabu wakati niitume na manabii wametokea kwao?Kwanza waarabu wanadharau sana huo utoto nani ataamini?
Nani kasema nitume na manabii wametokea kwao ? Wao au watu wengineKwa hiyo unawadharau Waarabu wakati niitume na manabii wametokea kwao?
Kwani Yesu katokea wapi mkuu? Ila kobazi wana raha sana pindi wakifa. Mabikra 72 si haba. Mimi ningepata watatu tu ingetosha pamoja na ukafiri wangu.Nani kasema nitume na manabii wametokea kwao ? Wao au watu wengine
mrembo mamboooWewe komredi unataka kutupishanisha na bikra 72 wenye macho makubwa yenye presha na mito ya mivinyo maridhawa.
Yani Mungu atengeneze Jua ashindwe kutengeneza Jahanam?Acha kulishwa matango pori na DINI zilizokuja na mashua, hakuna pepo wala jehanamu.
Pepo yako ukikomaa unaipata hapahapa duniani, au haujui Kuna familia tayari hapa Tanzania zishafika peponi kabla ya kufa!?
Mambo ya peponi na jehanamu ni vitisho kwa maskini ili wasiwasumbue ambao tayari wapo peponi hapa duniani, wao wakiwa wanaisubiri pepo ya uongo ya wazungu na waarabu.
Watu wanafosi mazingira, tafuta pesa kwa njia yoyote Ile ilimradi uipate, hakunaga pesa haramu.
Umeanza ubishi komredi!?Nani kasema nitume na manabii wametokea kwao ? Wao au watu wengine
Kwanini wasiwe watu weusi?Umeanza ubishi komredi!?
Tajiri chivundu 😁Sawa sawa Comrade Kipepe. 😊
.
Watu wataanza kunitukana sio mdaWaafrika matongotongo yameanza kutoka
Mabikra 72 ndio uwanipe na safari zangu 5, oyaa nawavunja wote siku hio hioKwani Yesu katokea wapi mkuu? Ila kobazi wana raha sana pindi wakifa. Mabikra 72 si haba. Mimi ningepata watatu tu ingetosha pamoja na ukafiri wangu.
Sasa hekima inasema hivi, yule aliyesema kuna mbingu na moto atuletee proof ya anachosema, na wewe unaesema hakuna mbingu na moto tuletee proof ya unachosema. La sivyo nyote wawili msitupotezee wakati.Acha kulishwa matango pori na DINI zilizokuja na mashua, hakuna pepo wala jehanamu.
Pepo yako ukikomaa unaipata hapahapa duniani, au haujui Kuna familia tayari hapa Tanzania zishafika peponi kabla ya kufa!?
Mambo ya peponi na jehanamu ni vitisho kwa maskini ili wasiwasumbue ambao tayari wapo peponi hapa duniani, wao wakiwa wanaisubiri pepo ya uongo ya wazungu na waarabu.
Watu wanafosi mazingira, tafuta pesa kwa njia yoyote Ile ilimradi uipate, hakunaga pesa haramu.
Tumuulize Mungu.Upo tayari?Kwanini wasiwe watu weusi?
Ushahidi wangu ni viongozi wa DINI nao wanajitengenezea pepo Yao hapahapa duniani washajua huko mbele ya haki hakuna kituSasa hekima inasema hivi, yule aliyesema kuna mbingu na moto atuletee proof ya anachosema, na wewe unaesema hakuna mbingu na moto tuletee proof ya unachosema. La sivyo nyote wawili msitupotezee wakati.
Huo sio ushahidi - ni tafsiri yako ya pepoUshahidi wangu ni viongozi wa DINI nao wanajitengenezea pepo Yao hapahapa duniani washajua huko mbele ya haki hakuna kitu