Hakuna mbadala wa Bluestack???

Kuna njia mbili,
Apo kama ni mbadala wa bluestacks then unatafuta emulator, iwe free chagua kati ya
1. Tumia Youwave
2. AmiDuOS
Nyingine kama Andy au droid4X zinaaumbua maana unahitaji malipo na kama droid4X ina data limit
kwa ushauri yako nzurii ni ipi mkuu nitumieee kwenyb pc yangu
 
Mbona naona hamgusi kitu chepesi,mozila browser Luna ad on ya WhatsApp.Unainstal na kila ukitaka kutumia WhatsApp unascan ioe barcode na WhatsApp ya simu yako.Au nimekosea wadau,mi ndo nafanya hivo
inaamaanisha kila ukii ingia whatsap ni lazima scan AU ni mara moj ukisha scan ndo unakua unatumia mazima yaani kil siku…..
 
umenikumbusha mbali sana mkuu nilishawahi itumia hii iko njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…