Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
HahahahhaaNingeshangaa sana kama habari ile ingekuwa ya kweli. Maana ingetulazimu tusitishe manunuzi ya ndege ili fedha hizo walipwe wenye vyeti fake....ni Sawa na Pope kuwa Muislam
Ni waungwana wameomba radhi. Sasa gazeti hadi kufungiwa ni ukaidi wa wahariri wake...Yaani hapo husikii wakitishiwa kufungiwa. Hilo gazeti lina tabia ya kuandika habari zisizo na uhakika ila ni kwa kuwa huwa dhidi ya Upinzani wenye funguo ya kufungia magazeti huangalia pembeni!
Unajua Gazeti la mawio lilifungiwa likafunguliwa na mahakama. Unajua hoja kuu ya mawakili wa Mawio ilikuwa kwamba mteja wao (Gazeti la Mawio) alihukumiwa bila ya kusikilizwa! Hao wafungia magazeti huwa wanafungia magazeti bila hata ya kusubiri kuombwa radhi. Hao "waungwana" kila siku wanaandika uzushi na uongo dhidi ya upinzani na hawafanywi kitu.Ni waungwana wameomba radhi. Sasa gazeti hadi kufungiwa ni ukaidi wa wahariri wake...
Ni kweli alihukumiwa bila kusikilizwa kwakuwa walikuwa wakikataa wito kwa ajili ya mashauri pale walipoitwa na Nape....umesahau? Halafu hawakuwa aaungwana kuomba radhu kama walivyofanya Mzalendo....Unajua Gazeti la mawio lilifungiwa likafunguliwa na mahakama. Unajua hoja kuu ya mawakili wa Mawio ilikuwa kwamba mteja wao (Gazeti la Mawio) alihukumiwa bila ya kusikilizwa! Hao wafungia magazeti huwa wanafungia magazeti bila hata ya kusubiri kuombwa radhi. Hao "waungwana" kila siku wanaandika uzushi na uongo dhidi ya upinzani na hawafanywi kitu.
Tunajua kwamba "Uungwana" umekuja kwa kuwa imeonekana wataharibu haiba ya serikali mbele ya watu ama hakuna uwezo wa kulipa hicho walichosema kitalipwa. Kuhusu Uungwana, Uhuru hawana uungwana wala nini!!
MatapeliFao la kujitoa si kitoto
Hapa kuomba radhi haitoshi kwani gazeti lolote makini lisingeweza kudanganya umma kwa style hii. Sijui mwandishi wa wahariri walitaka kutupeleka wapi na kwa sensitive issue kama hiyo ingefanyiwa double check kujiridhisha. Ni wazi hilo halikufanyika hasa ukichukulia kuwa gazeti lililo andika hivyo ni uhuru (Chama na serikali). Je watatumbuana? Bunge lingekuwa live tungejua hata kabla ya kudanganywa.Ni waungwana wameomba radhi. Sasa gazeti hadi kufungiwa ni ukaidi wa wahariri wake...
Uhuru na Mzalendo ni Makaratasi ya kufungia Maandazi na kuchambia uswaziView attachment 509098 Kama wanakula rambirambi mafao ndo yataachwa? Hii ndo ccm sikivu ya wadanganyika.
Gazeti la chama nani wa kulifungia???Yaani hapo husikii wakitishiwa kufungiwa. Hilo gazeti lina tabia ya kuandika habari zisizo na uhakika ila ni kwa kuwa huwa dhidi ya Upinzani wenye funguo ya kufungia magazeti huangalia pembeni!
View attachment 509098 Kama wanakula rambirambi mafao ndo yataachwa? Hii ndo ccm sikivu ya wadanganyika.