Hakuna lililo jema aliowatendea Gaddaffi walibya?


mambo yote haya, wamemuuuua!""""" bora uwe kama kikweeteee, wazuri daima hawadumu!""""""
 
Duniani kuna mambo kutoka ukuu wa nchi na kuuliwa kama kibaka puu!!!puuu!!!puuu!!.
 
Alikuwa muuaji, waliomuua ni wale aliowaulia ndugu zake! wala siyo inshu ya kusikitika, mbona husikitiki wale vijana waliokuwa mateka walikuwa wanauawa kama kuku kwa kupigwa risasi mmoja baada ya mwingine?
 
Swali ni kwamba wewe kama mwananchi unataka ktk nchi yako kuwe na maendeleo kwanza halafu demokrasia baadaye au kinyume chake?

Maana kuhusu kodi mbona Tanzania tunatozwa kodi na bado hatuoni chembe ya unafuu katika bidhaa ndogo kama sukari ambayo ni Tsh 2200 mkoa wa moro. kwa hiyo maendeleo hayaletwi kwa kuwachekea watu kama JK anavyofanya.
 
Ni ujinga, kwa sababu alimpindua mfalme wao. Na ni ukabila mbaya. Wewe kama mwananchi unatendewa yote hayo kula maisha.

Kila rais anaweza akaua kulinda kiti chake kwa ka Ghadafi aliua ni dhambi zake haikupaswa wamuue kwa msaada wa NATO na nchi za magharibi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…