wasalaaam,
mpo poa wana jf?? kama mishe asijaenda leo jikaze kesho zitaenda njema
sasa hapa ipo kama ivi, nowdays vijana wa kisasa wanataka mapenzi lakin habari za kuoana hamna, yan hapa nasema wote awe male au female ni kubanjuka tu, sijui ndo kula ujana au??
utakuta limdada lina miaka kama 30 alina habar ya kuolewa na unakuta njemba inakimbiza 40 ata mtoto wa kusingiziwa hauna!! doooh
yan watu sikuizi wanatamani kungekua na ndoa za mikataba ile unachua jiko j2 had j3 unabwaga
siongei sana kahoja kangu ndo hako lakin sijui kwann ndoa azipendwi sikuizi
starehe zimekua nying??
life style imebadilika??
au ndo elimu ya kileo??