MwanaSaikolojia
Senior Member
- Jan 9, 2015
- 197
- 62
Amini usiamini ni feeling ya kipekee sana,utajiona kama unaishi katika sayari yako pekee yako na zungumzia true love. Wachache sana hubahatika kuipata, wengi hukumbana na matamanio ya kijinsia tu na mwisho siku wakishagegedana kila mmoja anatafuta njia ya kwao,sifa za true love;
1.Maisha yako yatakuwa ni ya furaha, hata shida zako hazina nguvu mbele love cause akili yako imetawaliwa na fikra za mpenzi wako tu mwingine atasema oh kama pesa huna basi huwezi kuwa nafuraha hata ukiwa na true love, nikwambie kitu. Love ilizaliwa mwanzo kuliko hela, love nzito sana kuliko hela wengi mtabisha hapa, ila sitowalaumu sababu najua wengi True Love mnaisikia ikitajwa tu wala hamjui ikoje.
2.True love ni pale tatizo la mwenza wako linakuumiza kichwa kuliko tatizo lako mwenywe.
3.True love ni pale mpenzi wako anakua ndo dunia yako,namaanisha hutojali dunia(walimwengu) inasema nn kuhusu yeye cause yeye ndio dunia yako.
4.True love ni feeling ambayo huwafanya kama mwili mmoja mmoja akiumwa na wewe maumivu unayapata huamini sio kosa lako.
5.True love ni pale upo tayar ksacrisfy kila kitu chako,mali yako,furaha yako hata maisha yako justa kwa ajili ya mwenzi wako.
Kwa wale ambao hamjawahi kupata true love ombeni Mungu one day na nyie muipate.