bbwaoy JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 466 Reaction score 468 Oct 28, 2017 #21 Hakuna kitu kina uma kama una hangaika kutafuta kitu kumbe umekishikilia mkononi.
moses musa Senior Member Joined Apr 25, 2017 Posts 164 Reaction score 97 Oct 28, 2017 #22 Hakuna kitu kinauma kama..... Kuona wenzio sana watoto ww huna
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 Oct 28, 2017 #23 Hakuna kitu kinauma kama.. ....umeshika kijiko kilichojaa ndizi na kipande cha nyama unakileta mdomoni alafu unajigonga kinaanguka...
Hakuna kitu kinauma kama.. ....umeshika kijiko kilichojaa ndizi na kipande cha nyama unakileta mdomoni alafu unajigonga kinaanguka...
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,449 Reaction score 25,824 Oct 28, 2017 #24 byeyombo said: Asikwambie Mtu hakuna kitu kinauma kama kupigwa chini eti kisa unakaa buguruni! Click to expand... Aiseee...
byeyombo said: Asikwambie Mtu hakuna kitu kinauma kama kupigwa chini eti kisa unakaa buguruni! Click to expand... Aiseee...
amayabhu JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 497 Reaction score 709 Oct 28, 2017 #25 Hakuna kitu kinauma kama kuusoma uzi Wa kuwaponda vibamia. .....halafu nawew una kibamia * joking*
Njopino JF-Expert Member Joined Apr 8, 2014 Posts 3,468 Reaction score 5,070 Oct 31, 2017 #26 Hakuna kitu inauma kama kwenda ukweni ukiwa na njaa
Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,808 Reaction score 6,564 Oct 31, 2017 #27 Hakuna kitu inauma kama kugonga goti kwenye kona ya kitanda.
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,706 Oct 31, 2017 #28 mandella said: Hakuna kitu kinauma kama .... "Rafiki yako uliyemnunulia bia miaka minne mfululizo akiwa hana ajira, leo kapata kazi anakwambia ameacha pombe,inauma sana." Twenda na sms hizi Click to expand... Hakuna kitu kinauma kama kujua ex wako kapata mume mwingine mzuri zaidi yakk..
mandella said: Hakuna kitu kinauma kama .... "Rafiki yako uliyemnunulia bia miaka minne mfululizo akiwa hana ajira, leo kapata kazi anakwambia ameacha pombe,inauma sana." Twenda na sms hizi Click to expand... Hakuna kitu kinauma kama kujua ex wako kapata mume mwingine mzuri zaidi yakk..
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,164 Reaction score 43,860 Oct 31, 2017 #29 Hakuna kitu kinauma kama Kugongewa na mshkaji wako akati wew demu alikwambia.msubiri mpaka.ndoa
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Oct 31, 2017 #30 Inauma...?
ManDizzo Senior Member Joined Jun 25, 2014 Posts 140 Reaction score 130 Nov 1, 2017 #32 Hakuna kitu unauma kama kujua dark side ya demu wako ulikuwa unamuamini sana
mpenda arage JF-Expert Member Joined Nov 10, 2015 Posts 1,677 Reaction score 3,806 Nov 1, 2017 #33 Bwanshe56 said: hakuna kitu kinauma kama kumsubiri dem gheto afu akwambie amegaili mpk wiki ijayo Click to expand... Lazima upige nyeto!
Bwanshe56 said: hakuna kitu kinauma kama kumsubiri dem gheto afu akwambie amegaili mpk wiki ijayo Click to expand... Lazima upige nyeto!
za chembe JF-Expert Member Joined Jul 22, 2017 Posts 1,064 Reaction score 4,094 Nov 1, 2017 #34 Hakuna kitu kinauma kama ukipigwa na mpira kunako korodani
Nelson Kileo JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 3,054 Reaction score 3,265 Nov 3, 2017 Thread starter #35 ManDizzo said: Hakuna kitu unauma kama kujua dark side ya demu wako ulikuwa unamuamini sana Click to expand... too painfull .
ManDizzo said: Hakuna kitu unauma kama kujua dark side ya demu wako ulikuwa unamuamini sana Click to expand... too painfull .
omarion5 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2017 Posts 5,206 Reaction score 17,687 Nov 3, 2017 #36 Jozay joo said: Hakuna kitu kinauma Kama kubanwa na zipu kwenye dushelele Click to expand... So much pain
Jozay joo said: Hakuna kitu kinauma Kama kubanwa na zipu kwenye dushelele Click to expand... So much pain
omarion5 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2017 Posts 5,206 Reaction score 17,687 Nov 3, 2017 #37 bbwaoy said: Hakuna kitu kina uma kama una hangaika kutafuta kitu kumbe umekishikilia mkononi. Click to expand... Uzee huo unakaribia
bbwaoy said: Hakuna kitu kina uma kama una hangaika kutafuta kitu kumbe umekishikilia mkononi. Click to expand... Uzee huo unakaribia
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,778 Reaction score 13,685 Nov 3, 2017 #38 Hakuna kitu kinauma kama meno
omarion5 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2017 Posts 5,206 Reaction score 17,687 Nov 3, 2017 #39 Dennyce said: Hakuna kitu inauma kama kugonga goti kwenye kona ya kitanda. Click to expand... Utacheza kiduku mbona
Dennyce said: Hakuna kitu inauma kama kugonga goti kwenye kona ya kitanda. Click to expand... Utacheza kiduku mbona
omarion5 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2017 Posts 5,206 Reaction score 17,687 Nov 3, 2017 #40 za chembe said: Hakuna kitu kinauma kama ukipigwa na mpira kunako korodani Click to expand... Uwiii yashanikuta hayo
za chembe said: Hakuna kitu kinauma kama ukipigwa na mpira kunako korodani Click to expand... Uwiii yashanikuta hayo