Hakuna kitu kinaitwa Usaliti kwenye mahusiano

Man in black

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
361
Reaction score
378
Hello JF
Straight Down to business.
Kwanza kabisa what Am about to tell you is not a regular stuff, siko hapa kuhubiri like ooh cheating is bad, or stay with one partner, and those kind of boring stuff, THIS is for people who can think beyond the horizon.

Have you ever asked yourself kwanini we have our partners but still tunavutiwa na watu wengine?!!
Ushawahi kujiuliza kwanini sio kila wakati unamhitaji Yule ambaye uko na mahusiano naye?!!
Well, let me tell you this;
Nature ya binadamu ni "SELFISH" we want things to ourselves,(partners to outselves, material things to ourselves)we hate sharing what we love with people we don't know, this is not bad kwa sababu ndio asili yetu as human being, lakini mtazamo tofauti na huo utakuokoa na migogoro inayoweza kuepukika.
Check this out,I have friends (chukulia just normal friends)nkiwa na huyu my mind inaji-tune kuendana na yeye the things we talk, kutokana na historia yetu, things we do na the way I feel ni tofauti na nikiwa na rafiki mwingine, this is how we shld think when it comes to love affairs, if you have 3 boyfriends (or girlfriends)nina uhakika kila mmoja mna chemistry tofauti kabisa na mwingine, level ya excitement ni tofauti, the bond is different, being with someone doesn't mean usiwe na mahusiano na mwingine, we are human beings hatupo kwenye mars kwamba you dont get to meet other people, you only LEAVE your boyfriend/girlfriend only when they stop loving you back, but not because they get involved with others.
Kwanza it's a very high level of love n respect if they see others but still they love you and have time for you.
Guys in this world hamna kitu kinaitwa perfect relationship, misingi ya hii dunia yenyewe imetokana na imperfection, let's be real.
Kwa leo inatosha.
Happy UHURU day.
 
Huku tukifurahia uhuru wetu tanzania bara..[emoji23][emoji23]
 
Mkuu naomba namba ya gf or mke wako. Kizuri tusheee wote bwana.
 
You are simply narcissist of highest order period
 
Hivi kumbe leo ni uhuru day!! Kwahiyo tunapata uhuru wa kila kitu sio ndio mtoa mada!!!
Ila una kapoint kiasi fulani ila ushasema nature yetu tunataka vitu vya peke yetu, we are selfish in nature kwahiyo huu uhuru wa manyani nehiii kwakweli.
 
Hahaha uhuru day, siku ya kufungulia mawazo tukutu
 
Hello JF
Straight Down to business.
Kwanza kabisa what Am about to tell you is not a regular stuff, siko hapa kuhubiri like ooh cheating is bad, or stay with one partner, and those kind of boring stuff, THIS is for people who can think beyond the horizon.

Have you ever asked yourself kwanini we have our partners but still tunavutiwa na watu wengine?!!
Ushawahi kujiuliza kwanini sio kila wakati unamhitaji Yule ambaye uko na mahusiano naye?!!
Well, let me tell you this;
Nature ya binadamu ni "SELFISH" we want things to ourselves,(partners to outselves, material things to ourselves)we hate sharing what we love with people we don't know, this is not bad kwa sababu ndio asili yetu as human being, lakini mtazamo tofauti na huo utakuokoa na migogoro inayoweza kuepukika.
Check this out,I have friends (chukulia just normal friends)nkiwa na huyu my mind inaji-tune kuendana na yeye the things we talk, kutokana na historia yetu, things we do na the way I feel ni tofauti na nikiwa na rafiki mwingine, this is how we shld think when it comes to love affairs, if you have 3 boyfriends (or girlfriends)nina uhakika kila mmoja mna chemistry tofauti kabisa na mwingine, level ya excitement ni tofauti, the bond is different, being with someone doesn't mean usiwe na mahusiano na mwingine, we are human beings hatupo kwenye mars kwamba you dont get to meet other people, you only LEAVE your boyfriend/girlfriend only when they stop loving you back, but not because they get involved with others.
Kwanza it's a very high level of love n respect if they see others but still they love you and have time for you.
Guys in this world hamna kitu kinaitwa perfect relationship, misingi ya hii dunia yenyewe imetokana na imperfection, let's be real.
Kwa leo inatosha.
Happy UHURU day.
Mie sijaelewa kitu.!
Hivi umeandika kabila gani?
 
Back
Top Bottom