Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,242
- 14,885
Najua wengi mtatokwa na povu kwa hili, lkn ndio ukweli wenyewe ktk Tanzania hakuna kitu kama Kabila, hayo ambayo nyie mnayaita Makabila yaligunduliwa nakutungwa Wazungu au wageni wengine kama Waarabu, kabla ya hapo kulikuwa hakuna kitu kama Wanyamwezi, Wasukuma, Wachaga wala Wagogo n.k
Nitawaeleza kwa nini kwa mfano hao ambao leo hii tunawaita Wanyamwezi ni neno ambalo lilitungwa na Watu wa kutoka Pwani wakati wa Biashara ya Makaravani kubeba Pembe za ndovu kupeleka Pwani ya AM watu wa eneo hili la Tabora (leo hii) ambao walikuwa ni mchanganyiko wa watu kutoka maeneo mbali mbali na wenye lugha mbali mbali wakaanza kujiita wanyamwezi yaani watu kutoka mwezini jina ambalo walipewa na watu Pwani kutokana na uhodari wao wa kazi ya kubeba mizigo mizito ili waweze kupata kazi kwa wakati huo kazi ya kubeba mizigo ya Pembe za ndovu ilikuwa inalipa na ndio maana mpaka leo kuna msemo Mzigo mzito mwachie mnyamwezi... ukija kwa Wasukuma hakuna kitu kama Kabila la Wasukuma, wasukuma linatokana na neno sukuma yaani watu wa kutoka Kaskazini sasa ni kina hao wanaweza kuwa watusi wanaweza kuwa wahangaza n.k
Ukija kwa watu ambao leo hii wanajiita Wagogo, hilo neno lilitungwa na wakati wa biashara ya makaravani, hivyo watu wanaoishi hilo eneo wakaitwa Wagogo kutokana na magogo yaliyokuwa yamejaa hilo eneo...
Ukija kwa hawa tunaowaita Wachaga kwa kifupi hakuna kitu kama Kabila la wachaga, hili neno walibatizwa na Wazungu (Wajerumani) na ndio maana hakuna kitu kama Lugha ya kichaga nikimaanisha kwamba kwa mfano Mtu anayetoka Marangu hawezi kuelewana na mtu anayetoka Rombo au mtu wa Kibosho hawezi kuelewana na mtu wa Machame kwanza kwa Mfano watu wa Machame kama akina Bw.Mbowe na watu wa Meru kama akina Bw.Slaa wanasilikilazana lkn Bw.Slaa (mMmeru) hahesabiki kama ni Mchaga yaani kwa maana nyingine Mmeru yuko karibu zaidi na Mmachame kuliko alivyo karibu na MMarangu sasa je kwa nini Mmeru asiitwe Mchaga au Mmachame asiitwe Mmeru?
Ukija kwa Wahaya ni hivyo hivyo hakuna kitu kama Kabila la Wahaya... Nitaendelea kuwapa darasa ili mjitambue, siku nyingine mnapojiita sijui mimi Mnyamwezi sijui Msukuma sijui Mchaga mjue hayo majina yaligunduliwa na kutungwa na Wakoloni (waarabu na Wazungu)...