Kwa kutumia wimbo wa Bahati Bukuku usimfananishe Lissu na Hamani,Lissu hajawahi kuwa msaliti...
Waraka wa amani Uliowafanya wayahudi
Washindwe kula na kunywa wakati ule
Waraka wa amani Uliowafanya wayahudi
Washindwe kula na kunywa wakati ule.
Waraka ulioandikwa
Wayahudi wauwawe
Waraka uliotangazwa
Modekai anyongwe
Waraka ulioandikwa
wayahudi wauwawe
Waraka ulioandikwa
Modekai anyongwe.
Esther akiwa kwenye nyumba ya kifalme,
Esther akiwa ni malikia.
Ndipo modekai
Alirarua mavazi yake
Akavaa mavazi ya magunia
iIionyesha ya kwamba anaomboleza.
Akasimama mbele ya malikia aaa
Akamwambia Esther mama naomba sikia
Ujue umekuja Esther kwa wakati huu
hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa.
Ujue umechaguliwa kuwa malikia kwa wakati huu.
Hakuna wakati mwingine waweza kutuokoa.
Esther kwa maombolezo
Huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi.
Esther aha
Alikwenda kwenye malangoni PA kifalume kinyume cha taratibu.
Esther aha
Kwa kutangaziwa alikwenda oho kinyume cha taratibu
Akamwambia eeeh mfalme ukiona vyema aha
Waweza kuniruhusu niingie malangoni pako
Akamwambia eeeh mfalme hee
Ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako.
kamwambia eeeh mfalme hee
Ukiona vyema waweza kuniruhusu niingie malangoni pako.
Esther kwa maombolezo
Huku akisindikizwa na maombi ya wayahudi.
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Akachukua fimbo yake akamnyoshea
Akasema ah,
Nini haja ya moyo wako
Oh nusu ya ufalme wangu nitakupatia
Akasema ah,
Nini haja ya moyo wako
Oh nusu ya ufalme wangu nitakupatia
Esther aha
Kwa maombi ya wayahudi aliweza kunyamaza kimya
Esther aha
Kwa maombi ya wayahudi aliweza kunyamaza kimya
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema ah
Waweza kuniruhusu niandae karamu yangu
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema ah
Waweza kuniruhusu niandae nije na hamani
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema
Waweza kuniruhusu niandae karamu mnije na hamani
Ether kwa maombolezo
Huku wayahudi wakiendelea na maombi
Oh Hamani kwa kusikia sauti ya malkia oh, akapata sifa
Oh Hamani kwa kusikia ombi la malkia akajua ametembelewa
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema,
Sasa nimeandaa meza karibu mgeni
Akamwambia eh mfalme ukiona vyema,
Sasa nimeandaa meza mje na Hamani
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Akamuuliza swali tena naomba sema tena
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Akamuuliza Esther tena naomba sema lolote
Esther
Kwa machozi akamwambia eh bwanayangu naomba sikia
Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa
Na huyu adui wangu mtesi naye ni Hamani
Esther
Kwa machozi akamwambia eh bwanayangu naomba sikia
Mimi na wayahudi wote tumetangaziwa kuuwawa
Na huyu adui wangu mtesi naye ni Hamani
Mfalme akasimama akamtazama malkia
Kwa ghadhabu akageuka na kumtazama hamani
Akasema Aha, mtoeni nje hamani
Tena Mvikeni sanda nyeusi akafie huko
Akasema Aha, mtoeni nje hamani
Tena Mvikeni sanda nyeusi akafie huko
Naamini naja kwako, kwako baba
nikilibeba taifa langu pamoja na watu wote
Naamini naja kwako, kwako baba
Nikilibeba taifa langu pamoja na watu wote
Tazama Adui yetu shetani anatupiga vita
Tazama huduma tulizo nazo vinavyopigwa vita
Lengo lake haribu ilyo ndani yetu,
Lengo lake haribu ule mwili wa nje
eh Mungu wangu eh Mungu wangu eh Mungu wangu Eh Jehovah
El Shedai El Shedai El Shedai oh Jireh
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi
Naomba umtazame Hamani wetu ni wapi alipo,
Naomba umtazame Hamani wetu ni wapi alipo
Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo
Anayechafua kanisa lako ni wapi alipo
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi
Kuna maHamani Wengi sana baba katika makanisa
Wapo maHamani Wengi sana katika makanisa
Wao Ni kuharibu huduma zisiendelee mbele
Wao ni kuchafua wachungaji wasiendelee mbele
Mtazame hamani wetu anayechafua huduma zetu
Mtazame hamani wetu anayechafua
Mtazame hamani wa sasa anayechafua habari zetu
Mtazame hamani wetu anayechafua
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi
El Shedai El Shedai El Shedai oh Jireh
Eh Mungu wangu eh Mungu wangu eh Mungu wangu Eh Jehovah
Eh Jehovah Shammah eh Jehovah EH Jehovah Jireh eh massihi