Hakuna kazi ngumu kama kudelete WhatsApp mobile numbers za michepuko ya MMU!

Huo ni uongo kabisa delete namba za michepuko yako kwenye phone book halafu delete whatsapp halafu download upya uone kama hizo namba zitakuwepo
 
Nimekuja hapa kama dharura.

Asikuongopee mtu, hakuna kazi ngumu kama kudelete namba za simu za michepuko ya MMU Whatsapp!

Kiherehere changu cha kusomba namba za simu humu kimenitokea puani! Huku nikiwa sijawahi kuwasiliana hata na mchepuko mmoja, lakini lundo la namba za watu nisiowajua karibia 500, limenigharimu!

Nikiwa na miadi ya kwenda kuonana na mchumba wangu wa kwanza, leo, ilinibidi niahirishe. Nimeamka saa tisa usiku kufuta hizi namba, ah wapi! Unaifuta kwenye phonebook, unaifuta whatsapp, unarefresh, unarudi kucheki unakuta namba na profile zipo palepale! Michepuko imeweka profile mbaya za mitego mwanzo mwisho! Mara wabinue miguu, mara matako, mara nusu uchi!

Simu yangu anajua ni aina gani, na alishanisifia halafu kaishia kuniambia nina hamu ya kuiona, si unajua haya masifa yetu ya kihaya, kujisifia hata aina za simu, mara oh, hii simu ni kama satellite, inaweza kufanya hiki, mara kile!

Ndugu zangu, sina hamu, maana nina uhakika atakagua sana hii simu, hata nijifanye sina data hatakubali.

Nimedelete Whatsapp mara kumi, kila nikiinstall upya, wananiambia "we have found backup, Restore/Skip", nachagua Skip, kucheki hivi Whatsapp namba zote zipo, wamezirudisha, michepuko ndio kwanza imesanua matako na kujiachia!

Nablock, nikpress kwenye contacts, naambiwa " Unblock".

Sikutegemea.

Ilibaki kidogo sana niikanyage hii simu, Whatsapp wana njama, acheni kabisa!
kwani na huyo si mchepukooooo!!!
 
Sasa hivi nimeiweka simu mbali, maana nikiiangalia hivi napata hasira.
Hahahahaha mkuu hiyo kitu no serious. Mm ishanitokea kuna namba nlikua nataka iondoke kwenye simu yangi completely....sasa hawa google kwa kujifanya kujua yaani kila ukifuta namba kwenye contacts utaikuta kama ilivyo kwenye whatsapp....

Ila nikapata suluhisho

1. Nenda kwenye contacts then chagua namba unayotaka kufuta.
2. Edit hiyo namba kwa kuiongezea tarakimu moja au mbili hivi. Halafu SAVE kama kawaida.
Kwa kufanya hivi utakua umetenganisha kati ya ile namba ya whatsapp na hiyo iliyopo kwenye phonebook.

3. Delete namba iliyopo kwenye phonebook. Kisha nenda whatsapp utaona hiyo namba ipo lakini haijaseviwa.....so hapo unaweza kidelete chat na utakua umeondoa namba COMPLETELY!

Hope this will work.
 
Tumia vault mkuu,namba una hamishia huko basi kwenye simu/whatsap hazionekani,,.
 
Niliwahi kumblock mtu na kudelete kabisa. Siku ya siku mtuhumiwa akawa searched na namba ya simu ikakutwa imejaa tele WhatsApp. Bahati yangu baada ya kuwa unblocked msg hazikupatikana.

WhatsApp hawatakagi ujinga kabisa. Lakini hii 'over protection' wanayotupa sometimes inatudhuru wenyewe
 
e1fe8f47acaeff3f7a5998c5de5d80d4.jpg
Mshana baba hiyo "chata" made in wapi mkuu ..... hv choo anaenda kweli huyo ..... hapo wajikuta watoa mshahara wooooote afu waomba nauli ya bajaji aseee
 
Hizo namba zitakuganda kama ulivyowaganda wakati unawaomba! Shwaini
 
Basi huo ni udhaifu wa cm yako mkuu...kushindwa kufuta izo no ni dalili ya harufu mchina
 
Uliyataka mwenyewe. Michepuko yenyewe inakuambia" niko Kongowe" kumbe yuko Mbezi Africana. Utawajua hao
 
Back
Top Bottom